E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,151 Reaction score 3,493 Nov 15, 2024 #1 Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,151 Reaction score 3,493 Nov 15, 2024 Thread starter #2 Kmc cleaners mmetia aibu
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Nov 15, 2024 #3 Error 404 said: Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF Click to expand... Hakuna shida michuano ipo mwaka mzima.....makocha huajiriwa na kufukuzwa sio ajabu....kama unampenda muajiri hata awe shamba boy wako hakuna shida
Error 404 said: Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF Click to expand... Hakuna shida michuano ipo mwaka mzima.....makocha huajiriwa na kufukuzwa sio ajabu....kama unampenda muajiri hata awe shamba boy wako hakuna shida
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 Nov 15, 2024 #4 Ali pinga sindano
B Bendanda JF-Expert Member Joined Jun 25, 2020 Posts 461 Reaction score 390 Nov 15, 2024 #5 Bado hadi waseme 😀
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Nov 15, 2024 #6 Analalamika huko IG alichanjwa chale bila kupenda
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 15, 2024 #7 Yanga baada ya kufungwa na Tabora kuna kila aina ya simulizi
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Nov 15, 2024 #8 Mshana Jr said: Yanga baada ya kufungwa na Tabora kuna kila aina ya simulizi Click to expand... Tupe ukweli mzee wa kilingeni
Mshana Jr said: Yanga baada ya kufungwa na Tabora kuna kila aina ya simulizi Click to expand... Tupe ukweli mzee wa kilingeni
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Nov 15, 2024 #9 WAZEE WA GAMBOSHI WALIKUWA WANAMLAZIMISHA KOCHA AWANYWESHE WACHEZAJI DAMU YA BINADAMU.