Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
NdioMkuu kwanza pole, Mimi labda nikuulize maswali kadhaa.
1. Kabla ya hizo battery mbili zilizokufa mambo yalikuwaje? Au ndio umenunua gari na kuanza kukumbana na hizo changamoto?
2. Je kuna siku umewahi kuiacha gari yako kwa muda then ulipokuja kuiwasha ikakugomea mpaka ulipoboost kwa battery nyingine?
Nijibu kwanza hayo tuone shida iko wapi.
Oooh .Tafuta mtaalamu wa umeme...kuna mahali gari inashida....Mfano mimi,wiki 3 zilizopita nilipata shida ya betri kukosa nguvu mara kwa mara mpk nibust,ila sikuafiki kununua nyingine kwani ndio ina miezi 3 tu....nilifanya utafiti,nikakuta waya wa ethi umekatika mahali,nikaweka mwingine shida ikaisha.
Tatizo linaweza kuwa charging system, Altenartor Haichaji.Oooh .
Dah aisee nimetupa N70 ..nikaja nikatupa N70 tena ..sasa now nina N40 nayo chali .. dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Eehhh, umetuzitupa wapi nikaote Mkuu? Usiwe unakubali kirahisi, fanya diagnosis kwanzaOooh .
Dah aisee nimetupa N70 ..nikaja nikatupa N70 tena ..sasa now nina N40 nayo chali .. dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Eehhh, umetuzitupa wapi nikaote Mkuu? Usiwe unakubali kirahisi, fanya diagnosis kwanza