Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja
Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika hatua ya ukusanyaji wa mitihani, yawezekana mitihani ya Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology ilikusanywa pamoja bila kutenganishwa.
Basi yawezekana kwa kuwa mitihani ilikusanywa kwa mfumo wa namba tu bila kuonyesha kada ya kila mtahiniwa, kuna uwezekano mkubwa kwamba hata matokeo yaliyotangazwa yamechanganywa kwa kada zote za Engineering.
Yawezekana pia hata wakati wa usahihishaji, matokeo yaliorodheshwa kama kundi moja la "Engineering" badala ya kila kada kusahihishwa na kutangazwa kwa utaratibu wake binafsi.
Kuchanganya Mitihani Kunaweza Kusababisha Kuchanganya Matokeo ya Written Interview
Kuchanganya mitihani ya Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology wakati wa ukusanyaji kunaweza kusababisha kuchanganya pia matokeo ya Written Interview katika hatua ya usahihishaji.
Kwa kuwa yawezekana mitihani ilikusanywa kwa mfumo wa namba pekee bila kuonesha kada ya kila mtahiniwa, basi yawezekana pia wakati wa kusahihisha kulikuwa na uwezekano wa kushughulikia mitihani yote kama mtihani mmoja wa Engineering bila kutofautisha kada husika.
Hali hii inaweza kufanya matokeo ya kada mbalimbali yakachanganywa pamoja katika orodha moja ya waliofaulu.
Kwa sababu hiyo, kuna uwezekano mkubwa kwamba matokeo yaliyotangazwa hayakutenganishwa kwa kada, bali yalihesabiwa kama kundi moja la Engineering bila kuzingatia mtihani tofauti wa kila kada.
Kuchaguliwa au kutochaguliwa kunategeme idadi ya nafasi zilizo tangazwa kwenye kada husika na idadi ya watahiniwa walio itwa kwenye interview (Position to candidate ratio).
Position to candidate ratio ndio inatumika kujua walio chaguliwa na ambao hawakuchaguliwa.
Hiyo inaama ya kwamba kila kada ya engineering inatakiwa kuwa na position to candidate ratio yake kwasababu kila kada ilikua na idadi yake position zilizo tangazwa lakini pia kila watahiniwa wa kada tofauti walifanya mitihani tofauti.
Kuchaguliwa au kutochaguliwa kunategemea idadi ya nafasi zilizotangazwa katika kada husika na idadi ya watahiniwa walioitwa kwenye interview (Position to Candidate Ratio).
Position to Candidate Ratio hutumika kujua ni nani atakayechaguliwa na nani hatakuchaguliwa.
Hii ina maana kwamba kila kada ya Engineering inatakiwa kuwa na Position to Candidate Ratio yake yenyewe, kwa sababu kila kada ilikuwa na idadi tofauti ya nafasi zilizotangazwa, na kila nafasi ilikuwa na idadi tofauti ya watahiniwa walioitwa kwenye usaili.
Aidha, kila kada ilifanya mtihani tofauti kulingana na taaluma yao.
USHAURI:
Kila kada hapo ingelitakiwa kuwa na matokeo yake kwasababu mitihani ilikua tofauti kama ifuatavyo:
Engineer II (Mechanical)
Engineer II (Textile)
Engineer II (Geology)
Engineer II (Oil and Gas)
Engineer II (Mining)
Engineer II (Chemical and Process)