Nini chanzo cha habari yako hii??1 Mkuu wa Jeshi la Israel, Luteni Jenerali Eyal Zamir, amesema kuwa Israel inapaswa kujiandaa kwa "kampeni ya muda mrefu" dhidi ya Iran ili kuondoa tishio la nyuklia.
2 Baadhi ya wachanganuzi, kama vile Trita Parsi wa Quincy Institute, wanasema Israel inaweza kuwa ikijiandaa kwa vita vingine kabla ya Desemba 2025, labda hata mwishoni mwa Agosti, ikiwa itapata "ruhusa" kutoka Marekani. Hata hivyo, hii inategemea mambo kama maendeleo ya nyuklia ya Iran na hali ya kisiasa ndani ya Israel
Ndio tuamini kwamba"kazi walioifanya pamoja na marekani haikufikia malengo yao, au sio!?
View: https://www.youtube.com/live/rd4iTiIAyWE?si=Ln7ESumnzg-nX6oS
Je, Israel iko tayari kuishambulia Iran tena kabla ya mwaka kuisha? Majenerali wakuu wa Iran wamekiri wazi kuwa wanajiandaa kwa vita vikubwa na vyenye umwagaji damu zaidi — na Netanyahu amefichua maelezo ya kushangaza kuhusu maendeleo yao ya nyuklia. Je, Israel itazindua shambulio la kujihami mapema ili kuendelea kuishi?
Tazama taarifa hii ya dharura kuhusu Mashariki ya Kati na ufahamu kile ambacho vyombo vikuu vya habari havitakuambia.
Nani aliomba vita isimame.Hata kipindi alichogqragazwa mlisema hivyo mkampamba hatimaye makamanda wake 30+ waliuwawa kijinga
Kwani hao mossad si ndio walimwanbia netanyahau iran amebaki na makombora elf 2 wakamfanya mpk kaanzisha vita kwa kujua iran hana silaha za kutosha matokeo yake kaomba ceasefire kupitia mume wake USA baada kugundua kapewa taarifa za uongo maana makombora yanagonga tel aviv km mvua na hayana dalili ya kuisha.Ukiona hivyo Mosaid wameshakusanya taarifa zote za kiinteligensia za maeneo ya Iran ya kurushia Makombora ya Masafa marefu!
Kilichobaki ni siku na wakati wa kufanya Preemptive strikes tu!
Maana Iran hana cha kujivunia zaidi ya mifumo ya kurushia drones na Balistic missiles.
Acha ujinga Israel ndiyo ilianza kuishambulia Iran kwa hiyo Iran hakupaswa kukubali kusimamisha vita maana ndiye aliyechokozwa!!Nani aliomba vita isimame.
Hayo sasa ni maneno ya kujifariji na kujipa moyo baada ya kipigo cha siku 12 ambacho kilisababisha makamanda waandamizi wa jeshi dhaifu la Iran 30+ kuuwawa kijinga.Kwani hao mossad si ndio walimwanbia netanyahau iran amebaki na makombora elf 2 wakamfanya mpk kaanzisha vita kwa kujua iran hana silaha za kutosha matokeo yake kaomba ceasefire kupitia mume wake USA baada kugundua kapewa taarifa za uongo maana makombora yanagonga tel aviv km mvua na hayana dalili ya kuisha.
Yaani unamvizia mtu unampiga halafu unajisifia daaaahHayo sasa ni maneno ya kujifariji na kujipa moyo baada ya kipigo cha siku 12 ambacho kilisababisha makamanda waandamizi wa jeshi dhaifu la Iran 30+ kuuwawa kijinga.
Kinachonichekesha sana mimi ni kuwa Iran amevunja rekodi ya kwanza duniani kwa Jeshi lake kupoteza makamanda wake waandamizi 30+ kwa siku moja akiwemo Mkuu wa Majeshi hii ni aibu ambayo hakuna jeshi duniani limeshawahi kupata isipokuwa Jeshi la Iran tu!!!
Aliye anzisha vita ndio yeye ndiye alitakuwa otoe masharti ya kusimsmisha vita angesema sisimamishi vita mpaa Iran ainue bendera nyeupe akubali masharti yangu yote.Acha ujinga Israel ndiyo ilianza kuishambulia Iran kwa hiyo Iran hakupaswa kukubali kusimamisha vita maana ndiye aliyechokozwa!!
Iran alikubali kusimamisha vita kwa sababu Maji yalikuwa shingoni hakuna na namna bali kukubali tu.