Ama kweli Madrasa mnadanganyana sana!!!Aliye anzisha vita ndio yeye ndiye alitakuwa otoe masharti ya kusimsmisha vita angesema sisimamishi vita mpaa Iran ainue bendera nyeupe akubali masharti yangu yote.
Vita zote mwenye nguvu ndiye anaye ombwa asimamishe Vita sio yule dhaifu.
Mfano Tanzania apigane na Kenya au Uganda na yeye ndiye kanzisha Vita kwa target ya kitu flani kule Kenya au Uganda hajafanikiwa na yeye ndiye aombe vita kusimama si kila mtu atamuona Tanzania ni mjinga.
Iran vipi akatae wakati Qatar alisema atampa pesa akikubali kusimamisha vita
kule ber sheva na tel aviv walikufa makamnda wengi ila wewe kiazi huwezi kuambiwaHata kipindi alichogaragazwa mlisema hivyo mkampamba hatimaye makamanda wake 30+ waliuwawa kijinga
Tuwekee hizo picha na sisi tu zionę lakini najua huna unaongea hivyo kutaka kujifariji na kujipa moyo baada ya Iran kugaragazwa na majeshi ya Israel!!!kule ber sheva na tel aviv walikufa makamnda wengi ila wewe kiazi huwezi kuambiwa
Wewe tatizo lako umezowea uwongo toka lini Israel akianzisha vita anaomba ceasefire lakini kwa Iran alikuwa anabembeleza Ceasefire. Missiles zilikuwa zikishuka kama mvua hakuna tena air defense ya kuziangusha haya mimi naomba wakianzishe tena.Ama kweli Madrasa mnadanganyana sana!!!
Idd Amin alipovamia Tanzania kulikuwa na juhudi nyingi sana za kutaka kupata Ceasefire Rais Bare wa Somalia Al ifanye jitihada hizo lakini Tanzania walikataa maana wao ndiyo walichokozwa waliendelea kumpelekea moto mchokozi mpaka akapinduliwa.
Inachekesha sana kuona Iran kashindwa na Tanzania nilitarajia Iran akatae hiyo Ceasefire ili aendeleze kupigana lakini wote tunajua alikubali kwa kuwa alikuwa ameishiwa pumzi ya kuendelea na mapigano maana Air defense zake zote zilikuwa zimeangamizwa,Jeshi lake la anga halikuleta kuonekana kabisa angani kukabiliana na wanaume Jeshi la Israel!!!
Hawajawahi kuwaga nanakili hawaYaani unamvizia mtu unampiga halafu unajisifia daaaah