Sawa Malkia Zumaridi, myahudi wa makambakoKutokana na harakati nyingi za kijeshi zinazoendelea huko Israel kuna uwezekano mkubwa sana Iran ikashambuliwa ndani ya Wiki hii.
Kama Israel itafanya hivyo basi itakuwa imewafumba miodom wote waliokuwa wanabeza uwezo wake kijeshi dhidi ya mahasimu wake huko Mashariki ya kati.
View attachment 3364943
Kwa hiyo Iran ni super power?Mimi sina wasi wasi waende tu lakini pale middle east US na myahudi ndio itakua bye bye.. hakuna, hakuna hakuna mtu wakupambana na muirani pale middle east dunia hii ya Leo hakuna!
***************************************
The United States is also preparing to evacuate its forces from Bahrain and Kuwait in the Middle East .... What is your comment?
Amerika Serikat juga bersiap untuk mengevakuasi pasukannya dari Bahrain dan Kuwait di Timur Tengah .... Apa komentar Anda?
Leo umekubali waende lakini hapo nyuma ulikuwa unasema hawezi kwenda!!!!! Safari hii mtanyooka tu!!!!Mimi sina wasi wasi waende tu lakini pale middle east US na myahudi ndio itakua bye bye.. hakuna, hakuna hakuna mtu wakupambana na muirani pale middle east dunia hii ya Leo hakuna!
***************************************
The United States is also preparing to evacuate its forces from Bahrain and Kuwait in the Middle East .... What is your comment?
Amerika Serikat juga bersiap untuk mengevakuasi pasukannya dari Bahrain dan Kuwait di Timur Tengah .... Apa komentar Anda?
Hii haiwezi kuwasaidia Magaidi wa Hamas na hii ni faida kwa Israel kwa maana wanauana wao kwa wao huu ndiyo uzuri wa Samaki kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.Nakukumbusha TU Echolima1 wale mliowaomba back up vijana wa IS hukumu ya kunyongwa Iko inatekelezwa dk hii mbele ya nyumba ya kiongozi pendwa Yahya Al Sinwar.
Very very beautiful news ... Internal security in Gaza is carrying out the death and killing sentence against a number of Abu Shabab militia members near the house of Yahya Al -Sinwar in the city of Khan Yunis.
Berita yang sangat sangat indah ... Keamanan internal di Gaza melakukan kematian dan membunuh hukuman terhadap sejumlah anggota milisi Abu Shabab di dekat rumah Yahya al -sinwar di kota Khan Yunis.
Israel hana uwezo wa kupigana na Iran labda awe na USA, peke yake hana ubavu huoHata iwe kuanzia 1947 huwezi kuwapangia waanze kupiga lini. Israel wakiamua wameamua!!!