Kuna uwezekano mkubwa Israel ikaishambulia Iran ndani ya wiki hii

Visingizio vya nini USA kwenu alishakuwa mungu wenu? Kama ni hivyo anzeni kumwabudu maana hamuachi kumtaja kwa kila tukio!!
Kenge wewe sisi hatumuogopi USA yeye ndio anatuogopa Waislam. Huoni daima yupo kutu label kila.kukicha mara Extremes au Radicalism hahaha 😆
 
Wewe endelea kubwabwaja lakini kipondo kwa Iran kiko palepale!!
Vita inaleta heshima, huoni sasa Israel majirani wana muheshimu.

Ila nilisoma mahala fulani Trump kamwambia Netanyahu asubiri kwanza mpaka mazungumzo yasite kabisa.

Nadhani Trump anaogopa, Netanyahu ndiye ameshaota pembe.

Waanze mapema Sasa tuone haya ya Iran na Israel nani ataomba cease fire ya kwanza.

Naomba tu wanawake na watoto wakae mbali.
 
Toka juzi nilikuwa nawaambia hakuna jinsi Iran lazima atapigwa tu niliwaambia Iran aanze tu kutia maji kichwani maana kinyozi yuko tayari kuanza kazi yake!!!
Kwaiyo kapigwa kama ulivosema au ndio mipasho ya kinadada!!!
 
Kenge wewe sisi hatumuogopi USA yeye ndio anatuogopa Waislam. Huoni daima yupo kutu label kila.kukicha mara Extremes au Radicalism hahaha 😆
Safari hii Mtanyooka tu mbwa nyie!!!!
 
Muisrael hapo anangoja kupewa 👍 aanze kubondabonda kobaz mpaka waishie msalani tu kupata udhu
 
Kumbe mshaelekezwa dawa ni kusarenda halafu mnakaza fuvu mtanyooka waarabu wa Saud Arabia Qatar misri walisha sarenda bado wahuni wachache sana kama Iran
Wayahud hawatakubali
 
Iran ni superpower wa mafia dini
 
Mlengwa mkuu aliyebakia ni huyu Ayatollah Khamenei
 

Attachments

  • IMG_3241.jpeg
    86 KB · Views: 12
Leo Alhamis wanasubiri Ijumaa wawapigie misikitini au? Wiki inaisha hiyo.
 
Ulikuwa sahihi mkuu
 
It happened
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…