Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Subiri nikukosoe na weweKuhairishwa[emoji777] kuahirishwa[emoji736]
By the way ahsante kwa maoni yako!!
Kuahirishwa[emoji777]
Kuakhirishwa[emoji736]
Usitusumbue hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri nikukosoe na weweKuhairishwa[emoji777] kuahirishwa[emoji736]
By the way ahsante kwa maoni yako!!
Urusi inatakiwa itambue, Ukraine ni nchi huru na yenye maamuzi yake;kama Urusi itaondoa majeshi, na kutokuingilia Ukraine kwenye maamuzi yao, vita itaisha; na hii itafanikiwa iwapo mpatanishi atatoka G7
Ujumbe huu uifikie AmericaUrusi inatakiwa itambue, Ukraine ni nchi huru na yenye maamuzi yake;kama Urusi itaondoa majeshi, na kutokuingilia Ukraine kwenye maamuzi yao, vita itaisha; na hii itafanikiwa iwapo mpatanishi atatoka G7
Wewe tushakwambia bangi hazikufaiMzuka Wanajamvi!
Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia. Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein.
Hii itasababisha vita ya tatu ya dunia kwasababu Yukrein naye anatuma maombi NATO.
Kuna uwezekano kombe la dunia Qatar kuhairishwa. Na siyo kombe la dunia ratiba ya vitu vingi vitabadilika dunianina kuvurugika. Mfano Biashara na soko la hisa usafiri na kadhalika.
Inachotupasa tuombeni amani. Huu mzozo au vita ya Ukraine utaisha tu katika meza ya mazungumzo. Kwasababu tunapoelekea Yani hata EPL nayo itasimama.
Kama sababu ni za kiusalama; bado wanaweza kuimarisha ulinzi wa ndani pamoja na kuboresha teknolojia ili kila nchi iwe huru kwenye maamuzi yakeSababu za Tanganyika kuwepo Znz hadi leo ndio hizo hizo zinazoifanya Russia isioache Ukraine
Sababu zilizofanya Marekani kuigawanya Ujerumani, Korea ndio hizo hizo zinaifanya Russia kuigawa Ukraine
Vipi mjomba mbona mwenzako yupo Chalinze wewe unamtafutia Kunduchi.Subiri nikukosoe na wewe
Kuahirishwa[emoji777]
Kuakhirishwa[emoji736]
Usitusumbue hapa
Vipi kama ni kughairishwa kutoka kwa neno/mzizo wa neno GHAIRI....Subiri nikukosoe na wewe
Kuahirishwa[emoji777]
Kuakhirishwa[emoji736]
Usitusumbue hapa
Katafute iliyo sahihi uileteVipi mjomba mbona mwenzako yupo Chalinze wewe unamtafutia Kunduchi.
Kuakhirishwa ndio fasaha?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ndo ushasema kutoka neno ghairi sasa yeye hakutumia Ghairi alitumia hairiVipi kama ni kughairishwa kutoka kwa neno/mzizo wa neno GHAIRI....
Huu ufala unaweza kutokea nchi za Dunia ya tatu.Urusi inatakiwa itambue, Ukraine ni nchi huru na yenye maamuzi yake;kama Urusi itaondoa majeshi, na kutokuingilia Ukraine kwenye maamuzi yao, vita itaisha; na hii itafanikiwa iwapo mpatanishi atatoka G7
Huu mfano haupo sahihi.Chanzo cha mgogoro, unaweza kufananisha na jirani yako akuzuie usiwe unachoma nyama choma hapo kwako
majamaa huwa wananichekesha sana wakizungumzia sovereignty.Iraq haikua nchi huru? Vipi kuhusu Libya? Vipi kuhusu Afghanistan? Vipi kuhusu Syria na Yemen?
Si ni haohao wanaounda G7 ndio walihusika kuvuruga hizo nchi? Leo Ukraine kuna kipi cha ajabu ambacho hawakukifanya Libya na Syria?
Kughairishwa ambalo linatokana na shina lá neno ghairi.Katafute iliyo sahihi uilete
America sio wafanye jitiada kuwapatanisha hizo Nchi mbili vita viishe, yeye anasisitiza tu kutoa msaada wa silaha kwa Ukraine, natamani Russia ilo bomu la nuclear angelipiga americaMzuka Wanajamvi!
Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia. Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein.
Hii itasababisha vita ya tatu ya dunia kwasababu Yukrein naye anatuma maombi NATO.
Kuna uwezekano kombe la dunia Qatar kuhairishwa. Na siyo kombe la dunia ratiba ya vitu vingi vitabadilika dunianina kuvurugika. Mfano Biashara na soko la hisa usafiri na kadhalika.
Inachotupasa tuombeni amani. Huu mzozo au vita ya Ukraine utaisha tu katika meza ya mazungumzo. Kwasababu tunapoelekea Yani hata EPL nayo itasimama.
Utawaweza hao mifugo ya AmericaIraq haikua nchi huru? Vipi kuhusu Libya? Vipi kuhusu Afghanistan? Vipi kuhusu Syria na Yemen?
Si ni haohao wanaounda G7 ndio walihusika kuvuruga hizo nchi? Leo Ukraine kuna kipi cha ajabu ambacho hawakukifanya Libya na Syria?
Bado hizo sio sababu za maana kwasababu vita zina gharama kubwa kuliko meza ya mazungumzo.Huu ni ujinga wa putin na siku akifa hayo majimbo na hizo nchi lazima zianzishe vuguvugu zakujitenga kwasababu ilishafanyika hivyo uko nyuma.Lakini pia huu ujinga umeathiri ata ambao hawahusiki na unaendelea kuathiri.Mfano wako hauna uhalisia. Mfano halisi ni huu:
Kuna wahuni kila siku wanatishia kupiga mawe na kuvunja madirisha ya nyumbani kwako. Alafu jirani yako anawakaribisha, na anakubaliana nao waje kuweka nyumbani kwake mafurushi ya mawe watakayotumia kuvunja madirisha yako.
Utafanyaje? Utamuacha jirani eti kisa anao uhuru wa kuamua mambo ya nyumbani kwake?