HesabuKali JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 2,791 Reaction score 5,687 Oct 7, 2022 #61 Yani mtu na akili zako unakaa unamuamini Putin? Huyo mtu hajawahi kuwa serious na anajua hawezi kufanya hicho anachojaribu kuwatishia
Yani mtu na akili zako unakaa unamuamini Putin? Huyo mtu hajawahi kuwa serious na anajua hawezi kufanya hicho anachojaribu kuwatishia
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Oct 7, 2022 #62 HesabuKali said: Yani mtu na akili zako unakaa unamuamini Putin? Huyo mtu hajawahi kuwa serious na anajua hawezi kufanya hicho anachojaribu kuwatishia Click to expand... Na hawezi kua dhaifu kutumia nuclear Kama ambavyo USA ilipigwa na Japan mpk Ikabidi ikimbile kutumia nuclear.
HesabuKali said: Yani mtu na akili zako unakaa unamuamini Putin? Huyo mtu hajawahi kuwa serious na anajua hawezi kufanya hicho anachojaribu kuwatishia Click to expand... Na hawezi kua dhaifu kutumia nuclear Kama ambavyo USA ilipigwa na Japan mpk Ikabidi ikimbile kutumia nuclear.