Kuna uwezekano Mkubwa Lissu na Magufuli waligombanishwa. Yawezekana Lissu alitumiwa pasi na kujua

wani huyu anajuana na Didy ?

Hamna lolote ni hisia za chuki tu
 
Ni kweli mkuu Lisu yule wa 2015 kurudi nyuma hana tofauti sana na JPM kiuzalendo kama mtu anabisga atafute mahojiano yake mbalimbali hasa na Angelo Moleka wa star tv
 
Una uhakika Mbowe alikuwa jela?

..ndio.

..Mbowe alifungwa na Magufuli.

..umesahau hukumu ya kesi ya Akwilina?

..na mwalimnyoa kipara.

..wakamvua na nguo kama wafungwa majambazi.
 
Wengi tulijua toka mwanzo, Lisu alitumiwa na genge la mso kwa kushirikiana na business partner wake kengeza mbo, na yeye bila kujua wakamtumia ka toilet paper, na ili kumaliza kazi vizuri kengeza aka tengeneza mtego wa kumuua kwa risasi ili wamalize kabisa fitina kwa kusema Dkt Magufuli kamuua lisu hahaha. Uzuri muda mwl mzuri sana, sasa ni dhahili lisu kajua aliyetaka kumuua ni mbowe na msog na inavyoonekana watamuua tu maana keshavuka mistari yao mwekundu ya kusema siri zao, ni kama wachawi tu ukijua siri zao usipokuwa makini wanakuua. Lisu is a walking dead man mbele ya kengeza
 
Umesahau Magufuli alimuweka sero Mbowe??
mbowe alikula mpunga wa kuunga juhudi akagoma hizo hela akaenda anzisha green house ili kuzirudisha alivyogoma wakamfugia bilicana, vuruga green house yake, vuruga mashamba yake na kwa hasara aliyopata ni zaidi ya kile alichokula na mwisho alitakiwa afie jela maana ni gaidi alitaka kumuua lisu na ni muuaji alimuua chacha wangwe
 
Chadema wenzake wanasema Lissu ni muongo, na JPM alikuwa hapendi watu waongo
 
Ni kweli mkuu Lisu yule wa 2015 kurudi nyuma hana tofauti sana na JPM kiuzalendo kama mtu anabisga atafute mahojiano yake mbalimbali hasa na Angelo Moleka wa star tv
Kipindi hicho lissu alikuwa very radical na wazungu alialikwa amuongelee lumumba wa kongo, lakini alivyoingia jpm akaungana na wazungu duuh!!! Nikasema siasa ni siasa
 

..kama unayosema ni kweli kwanini Mrs.Hafidh hachukui hatua?
 
..kama unayosema ni kweli kwanini Mrs.Hafidh hachukui hatua?
Shida kama kuna wasaliti ndani ya mfumo ni ngumu mno kama alivyohangaika Dkt Magufuli, dawa ni kukaa kimya washughulikiane wao kwa wao. Ndiyo maana bi mkubwa hana muda maana ni mambo ya kijinga kijingakuchafuana. Yaani unaweza mkuta mtu ana chuki na Dkt Samia muulize sababu hata hana ila kisa tu kasikia kuna mtu katekwa etc. Hizi siasa inabidi zifike mwisho wajinga wote wanaosababisha siasa za kutekana na kuuana ili kuchafuana wauawe nchi ipone.
 

..mauwaji ya Magufuli ni mfano wa wasaliti ktk mfumo kushughulikiana?
 
..mauwaji ya Magufuli ni mfano wa wasaliti ktk mfumo kushughulikiana?
Kwa nadharia iliyopo ndiyo, yaani walimchafua (wanasema if you want to kill someone given him/her a bad name) basi hata ukimuua una justification. Kuna uzi mmoja mdau mmoja alisema rais kufa madarakani nchi inakuwa kwenye hali ya dharula for up to 50 years. Hao waliopanga kumuua Dkt Magufuli wao walidhani wanajiponya wao but madhara yake yaani ndiyo bado mabichi kabisa, killing each other itaendelea mpaka waliohusika kumuua wote wafe!
 

..sio kwamba magufuli alikuwa fisadi na alianza kuwauwa wenzake ndani ya mfumo?
 
Hakuna vita ya kupiganishwa magufuli alikuwa mpuuzi tu

Kwa mtu smart anayekataa upuuzi lazima mtofautiane tu.


Angalia alivyoshughulikia covid kipuuzi

Angalia alivyoshughulikia makinikia kipumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…