Kuna uwezekano mkubwa miradi ya SGR na Stieglers' Gorge isikamilike

Nenda Rufiji kwanza Bro ukaone ndiyo urudi hapa. Au soma thread hii na angalia clip

Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa - JamiiForums
 
Serikali ya mzee Pombe , imeharibu pesa sana just imagine chaguzi zilivpkuwa zinaludiwa kila siku ....uwo ushubwada wa ccm ni laana tosha.

Kama corona inaendelea hivi, kuna kwenda kwenye sanduku la kura?
 
HAZITAKAMILIKA HATA KAMA CORONA ISENGEKUWAPO
 
Kwa hiyo aliyeagiza kusali alikuwa anatudhihaki?
Yule Hana dhihaka kwani Yuko serious...ila Yule mwingine anayesema tusichukue hatua za Kinga kwani tumeambiwa tusali tu....na Yule anayesema pamoja na kufunga na kusali siku tatu lakini Corona inaongezeka...Hawa wote ni mifano ya dhihaka
 
Mkuu Gambino nimesoma maono yako ya April 2020, naona ulipita mulemule. Japo miradi haijasitishwa ila mikopo imeongezeka na kasi ya kujenga imepungua
 
Changamoto ya biashara awamu ya 5, ilianza kabla ya (covid-19),ugonjwa wa uviko-19,umechagiza tu(physical factor) asilimia 20% ya mafanikio kwenye biashara yategemea pia na yanayomzunguka mjasiriamali (the entrepreneur and his/her environments). Kwenye hiyo asikimia 20 kuna utashi wa kisiasa,mtu mmoja mmoja anavyo endesha maisha yake muendelezo wa elimu dunia,elimu mbalambali zitokanazo na muundo wa kitaifa,na gharika (political factors, social-demographic variables and physical factors) utashi wa kisiasa awamu ya 5 ulivuruga sana biashara .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…