BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Afe kipa afe beki miradi itakamilika. Hii miradi ni sawa na garimoshi lisilo na gia ya reverse wala breki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo miradi iliishaonekana White Elephants toka mwanzo na hii hali itakuwa imekuwa tu ni a blessing in disguise.
Huwezi ukaanzisha miradi ya nchi kwa mapenzi yako mwenyewe bila kuzingatia the economic viability zake ili tu kujitafutia cheap popularity.
Mdololo ujao unaweza kuwa another opportunity kwa wafadhili kuibada hii serikali iweze kuheshimu haki za binadamu na kuanzisha mchakato wa katiba mpya.
Rais alokuwepo halufeli ndio maana iluliweza kuletewa unga wa sembe.Njaa kwanini itokee?
Nimeuliza umeshawahi kukaa foleni ya unga wa sembe?
Aliyeianzisha ndio chukizo😄😄😄As long as miradi inayofanyika sio chukizo mbele za Mungu na hakika kuwa itakamilika tu hata kama sio kwa wakati..
Hamna kiongozi paleNdiyo shida ya kuwa na viongozi wenye akili inayowatuma kuhifadhi akiba ya mayai yote kwenye kapu moja!!
Hii awamu kwa mipasho.
Hebu waulize waliopo Rufiji wakuambie kinachoendelea. Barabara zimeharibika baada ya mafuriko ya mto Rufiji. Gari za mzigo hazingii wala kutoka.Neither SGR nor Stigler's gorge will stop.
Corona haitochukua mda itakwisha na mambo yataendelea kama kawaida cha msingi watanzania tujikinge na tuendelee kuchape kazi.
Yani wabongo ndo hapo tunapokosea hasa kwenye kujidai wajuaji kumbe madudu tu.Nafahamu tatizo linakuwa kwako kwa sababu Kingereza si lugha fasaha kwako na bado upo katika kutafuta kukielewa, unachofanya ni kutafsiri neno kwa neno. Tofauti na mimi ambae mpaka ndoto nnaota Kwa Kingereza na ni lugha nnayoitumia sana kwa sasa kuliko Kiswahili. Nnapokitumia huwa sifikiri kutafsiri neno kwa neno.
mfano nikikwambia tardiness is endemic in our company. Does it mean company zingine hakuna tatizo la tardiness? Fikiri.
Kijana soma Wanasayansi wanaongea vipi...Yani wabongo ndo hapo tunapokosea hasa kwenye kujidai wajuaji kumbe madudu tu.
Umezingua inatakiwa ukubali . Dunia nzima Kuna COVID 19 pandemic. Kuna waalimu wanafundisha shule lakini nao wanazidiwa na wanafunzi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba omba Hana chaguzi.Tutegemee kutii masharti ili tupate misaada kwa mabeberu tunaowananga.Beberu huwa Hana haraka utarukaruka we at the end utakuja tu.Hiyo miradi iliishaonekana White Elephants toka mwanzo na hii hali itakuwa imekuwa tu ni a blessing in disguise.
Huwezi ukaanzisha miradi ya nchi kwa mapenzi yako mwenyewe bila kuzingatia the economic viability zake ili tu kujitafutia cheap popularity.
Mdololo ujao unaweza kuwa another opportunity kwa wafadhili kuibada hii serikali iweze kuheshimu haki za binadamu na kuanzisha mchakato wa katiba mpya.
Mafuriko na Corona vimekuja kumaliza kujimwambafy sijui ccm watashikia nn wangewaongezea mishahara polisi pekee maana ndio ndugu zao kwenye shidaCorona hapa inasingiziwa tu. Hata kusingekuwa na corona, hiyo miradi isingekamilika hata ndani ya miaka 20. Mtu kwa kutumia ubabe ame-dismantle business sector, atapata wapi mapato ya ku-finance hiyo miradi? Aishukuru corona maana imempa kisingizio.
Na si ajabu amewatuma nyie wapambe wake ili hiki kisingizio kianze kutangazwa kwa nguvu ili wadanganyika wadanganyike na kuamini hizo propaganda.
The guy is too much inner selfness cares know but only himselfTusitafute excuses, tatazo la Tz ni kuwapa madaraka watu wasio na weledi wala huruma kwa wananchi.
We jiulize tumepoteza kiasi gani cha pesa sababu ya UPUMBAVU na UJINGA wa kurudia uchaguzi kisa watu wanaunga juhudi, TATIZO LA TANZANIA NI CCM hakuna kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Gambino, tumeishajiandaa kwa yote, hili likitokea miradi hiyo kusimama kutokana na Corona, hiyo hali kisheria inaitwa force majeure, hivyo kitakacho fuata, ni kumuongezea muda wa kutosha rais Magufuli aendelee kusalia madarakani hadi akamilishe miradi mikubwa yote ndipo tumruhusu.
P
Are you serious and what you are talking?Mkuu Gambino, tumeishajiandaa kwa yote, hili likitokea miradi hiyo kusimama kutokana na Corona, hiyo hali kisheria inaitwa force majeure, hivyo kitakacho fuata, ni kumuongezea muda wa kutosha rais Magufuli aendelee kusalia madarakani hadi akamilishe miradi mikubwa yote ndipo tumruhusu.
P
Ndo maana juzi kati zimeshushwa Bell trucks za kutosha kwa kazi hii. Kama ni mfuatiliaji na unajua mashine za kazi za off road utakuwa unajua hii chuma inaweza kwenda wapi. Its simply one of the best Articulated Off Road Dump TrucksHebu waulize waliopo Rufiji wakuambie kinachoendelea. Barabara zimeharibika baada ya mafuriko ya mto Rufiji. Gari za mzigo hazingii wala kutoka.
Pengine Jiwe angekuwa na akili kidogo tu angejiuliza kwa nini watangulizi wake wote hawakujenga hiyo STIGLERS.
Wewe wasema...Kwamba corona itatumika kama excuse?
mama leo nimekuelewa sana.hana adabu huyoWhen one door is closed the other is opened.
Miradi itaendelea labda litokee lingine.
Historia inaonesha hakuna calamity ya endemic/pandemic iliyomaliza mwaka mmoja bila kutulia.
Umeandika kiushabiki kama vile unafurahi hiyo miradi isipokamilika.
Miradi itakamilika na utaendelea kuuguza majeraha ya moyo huku upo ndani ya SGR.
Umeniaminisha wachawi wengi Tanzania.
Yote hiyo ni fire fighting strategy. Kama Jiwe angekuwa anatumia akili kidogo tu tusingefika kwenye kuingia hizo gharama za ziada. Kila contractor anachokileta sasa hivi kumuwezesha kufanya kazi kina athari kwenye gharama ya mradiNdo maana juzi kati zimeshushwa Bell trucks za kutosha kwa kazi hii. Kama ni mfuatiliaji na unajua mashine za kazi za off road utakuwa unajua hii chuma inaweza kwenda wapi. Its simply one of the best Articulated Off Road Dump Trucks
Sina uhakika na mradi umefika stage gani na kama mkandarasi hapaswi kuendelea kuleta vifaa kadri mahitaji yanavoongezeka. Unavoongea ni kama as long as mkandarasi tayari yuko kazini ni kama alipaswa awe na kila kitu tayari na hatakiwi kuongeza zaidi kuendana na muda na mahitaji yanavoongezeka na unajuaje kwamba hizi gharama za kuongeza vifaa haziko covered kwenye mkataba wa awali yaani kwamba mkandarasi hakujua kuwa msimu wa mvua utakuja na ntahitaji vifaa maalum kwa msimu huo so ni calculate kwenye quotation.Yote hiyo ni fire fighting strategy. Kama Jiwe angekuwa anatumia akili kidogo tu tusingefika kwenye kuingia hizo gharama za ziada. Kila contractor anachokileta sasa hivi kumuwezesha kufanya kazi kina athari kwenye gharama ya mradi