Kuna uwezekano mkubwa Mwamposa akawa na pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Huyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz.

Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini.

Gwajima ameteleza kidogo , angekaza angekuwa kamuacha mbali Mwamposa ila harakati za kisiasa zinamyumbisha sana.
 
mwamposa yeye kila siku anakusanya sadaka, diamond hadi aweke tamasha
 
⊘ 𝘛𝘩𝘪𝘴 𝘮𝘦𝘴𝘴𝘢𝘨𝘦 𝘰𝘯𝘭𝘺 𝘢𝘱𝘱𝘦𝘢r𝘴 𝘵𝘰
𝘱𝘦𝘰𝘱𝘭𝘦 𝘸𝘩𝘰 𝘣𝘢𝘵𝘩
 
Huyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz.

Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini.

Gwajima ameteleza kidogo , angekaza angekuwa kamuacha mbali Mwamposa ila harakati za kisiasa zinamyumbisha sana.
BM Hawezi kuwa na pesa za kuvundika kama Simba. Ili Chanel iwe online analipa pesa ndefu
 
Aise utanishtua unipe katiba na miongozo kama utafanikiwa...mim natafuta loopholes
Ngoja nikuibie siri , kuwapiga kenge ni rahisi mno kipindi cha magu nilipita nao kama upepo sembuse hiki🤣
 
Kama wajinga wapo kwanini usitajirike, katajirika kupitia ujinga wa waumini wake
 
Ngoja nikuibie siri , kuwapiga kenge ni rahisi mno kipindi cha magu nilipita nao kama upepo sembuse hiki🤣
Sasa mkuu mim watu wa aina yako ndio nawaitaj sana katika maisha yangu, Niko ktk mchakato wa kufungua kanisa ,, katiba ninayo tayari , naitaj watu wajanja, creative, aina yako tuungane pamoja kuuendea ubilionea ...Niko siriaz ...
 
Wengi wamenihitaji sana bwashee kwenye hiyo sekta ya injili , ila kabla ya kufika huko loopholes bado ni nyingi sana 🤔
 
Tutachekiana mkuu. ...mwisho wa siku watoto wetu waje kwenye makabur yetu waanze kulalamika , waanze kusema mzee ulishindwa hata kututoa kafara umekufa huna kitu
 
Back
Top Bottom