Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
mwamposa yeye kila siku anakusanya sadaka, diamond hadi aweke tamashaHuyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz.
Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini.
Gwajima ameteleza kidogo , angekaza angekuwa kamuacha mbali Mwamposa ila harakati za kisiasa zinamyumbisha sana.
BM Hawezi kuwa na pesa za kuvundika kama Simba. Ili Chanel iwe online analipa pesa ndefuHuyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz.
Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini.
Gwajima ameteleza kidogo , angekaza angekuwa kamuacha mbali Mwamposa ila harakati za kisiasa zinamyumbisha sana.
Nimeapa sitakufa maskin hii nchi..never ..hata nikipelekwa mochwari nitazinduka mamaeh..Yan mtu ana jenga 15 billion church kwa kuuza udongo mafuta na maji?Ni kweli ni tajiri mkubwa wa kwanza kwa kuuza maji mafuta na udongo Kwa Tanzania.
Hapo bila shaka anawaza aje na idea gani azidi kuwapiga.Ni kweli ni tajiri mkubwa wa kwanza kwa kuuza maji mafuta na udongo Kwa Tanzania.
Hawa kenge mimi nipo kwenye mchakato wa kuwapiga na hawata amini ni mimi bwashee , kufa kisefenge ni wewe upende tuNimeapa sitakufa maskin hii nchi..never ..hata nikipelekwa mochwari nitazinduka mamaeh..Yan mtu ana jenga 15 billion church kwa kuuza udongo mafuta na maji?
Kuna hela bila shaka amechangiwa na serikali.Nimeapa sitakufa maskin hii nchi..never ..hata nikipelekwa mochwari nitazinduka mamaeh..Yan mtu ana jenga 15 billion church kwa kuuza udongo mafuta na maji?
Hakuna...hotel yake alijenga kwa milioni 900..Kuna hela bila shaka amechangiwa na serikali.
Aise utanishtua unipe katiba na miongozo kama utafanikiwa...mim natafuta loopholesHawa kenge mimi nipo kwenye mchakato wa kuwapiga na hawata amini ni mimi bwashee , kufa kisefenge ni wewe upende tu
Ngoja nikuibie siri , kuwapiga kenge ni rahisi mno kipindi cha magu nilipita nao kama upepo sembuse hiki🤣Aise utanishtua unipe katiba na miongozo kama utafanikiwa...mim natafuta loopholes
Sasa mkuu mim watu wa aina yako ndio nawaitaj sana katika maisha yangu, Niko ktk mchakato wa kufungua kanisa ,, katiba ninayo tayari , naitaj watu wajanja, creative, aina yako tuungane pamoja kuuendea ubilionea ...Niko siriaz ...Ngoja nikuibie siri , kuwapiga kenge ni rahisi mno kipindi cha magu nilipita nao kama upepo sembuse hiki🤣
Wengi wamenihitaji sana bwashee kwenye hiyo sekta ya injili , ila kabla ya kufika huko loopholes bado ni nyingi sana 🤔Sasa mkuu mim watu wa aina yako ndio nawaitaj sana katika maisha yangu, Niko ktk mchakato wa kufungua kanisa ,, katiba ninayo tayari , naitaj watu wajanja, creative, aina yako tuungane pamoja kuuendea ubilionea ...Niko siriaz ...
Tutachekiana mkuu. ...mwisho wa siku watoto wetu waje kwenye makabur yetu waanze kulalamika , waanze kusema mzee ulishindwa hata kututoa kafara umekufa huna kituWengi wamenihitaji sana bwashee kwenye hiyo sekta ya injili , ila kabla ya kufika huko loopholes bado ni nyingi sana 🤔