Kongole Sana kwake, namkubali Sana huyu jamaaHuyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz.
Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini.
Gwajima ameteleza kidogo , angekaza angekuwa kamuacha mbali Mwamposa ila harakati za kisiasa zinamyumbisha sana.
Mkuu ukicheka na yoyote utachekewa kaa kimastaTutachekiana mkuu. ...mwisho wa siku watoto wetu waje kwenye makabur yetu waanze kulalamika , waanze kusema mzee ulishindwa hata kututoa kafara umekufa huna kitu
AiseeHakuna...hotel yake alijenga kwa milioni 900..
Upo hapo...
Ana pesa kuliko KikweteHuyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz.
Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini.
Gwajima ameteleza kidogo , angekaza angekuwa kamuacha mbali Mwamposa ila harakati za kisiasa zinamyumbisha sana.
Kwa Kikwete sio rahisi, hata kwa Mwigulu Nchemba tu hagusi.Ana pesa kuliko Kikwete
SawaChai