Kuna uwezekano mkubwa Peter Msigwa kurudi CHADEMA kama Lissu atashinda kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Kuna uwezekano mkubwa Peter Msigwa kurudi CHADEMA kama Lissu atashinda kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Kuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani.

Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona body language yake, inazungumza kuwa endqpo Lissu atashinda kuna uwezekano mkubwa wa kurudi CHADEMA.

Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

Yeye anashida na Mbowe na sio CHADEMA. Mungu ibariki CHADEMA chini ya Lisu, upinzani imara serikali imara.
 
Back
Top Bottom