Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na sio yeye tu, wako wengi sana walikimbia kutokana na figisu za freeman, watarejea dimbaniKuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani.
Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona body language yake, inazungumza kuwa endqpo Lissu atashinda kuna uwezekano mkubwa wa kurudi CHADEMA.
Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe
Yeye anashida na Mbowe na sio CHADEMA. Mungu ibariki CHADEMA chini ya Lisu, upinzani imara serikali imara.
Huo ni ukweli, lissu alifukuzwa chadema na mbowe kwa ubabe tu na SI vinginevyo.Msigwa mwili upo ccm , moyo upo chademaKuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani.
Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona body language yake, inazungumza kuwa endqpo Lissu atashinda kuna uwezekano mkubwa wa kurudi CHADEMA.
Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe
Yeye anashida na Mbowe na sio CHADEMA. Mungu ibariki CHADEMA chini ya Lisu, upinzani imara serikali imara.
Yaani mbowe anawatafuta watu wake wajenge chama, wakikua anawatimua😂😂na sio yeye tu, wako wengi sana walikimbia kutokana na figisu za freeman, watarejea dimbani
Kuna viumbe wengi ndani ya chama wasioweza kumtofautisha mfalme mbowe na chama.Alikuwa anatukana Mbowe na sio chama
🤣 🤣 🤣Kasajiliwa CCM Kwa mkataba mrefu hadi 2030
Asila ndio nini mkuu!Hana furaha huko ccm , ilikuwa ni asila tu