Kuna uwezekano mkubwa Peter Msigwa kurudi CHADEMA kama Lissu atashinda kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Leo Lissu akihojiwa na clouds amesema msigwa amekimbilia ccm kwasabb ya ujinga wake, alipaswa kubaki na kupambana ndani ya chadema.
Lissu ni noma hahahhhaaa
Lakini lisu akishinda atarudi mkuu
 
na sio yeye tu, wako wengi sana walikimbia kutokana na figisu za freeman, watarejea dimbani
 
Huo ni ukweli, lissu alifukuzwa chadema na mbowe kwa ubabe tu na SI vinginevyo.Msigwa mwili upo ccm , moyo upo chadema
 
Msigwa ilimpasa awe na subira Kwa sababu uchaguzi ulikuwa upo karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…