Kuna uwezekano mkubwa Peter Msigwa kurudi CHADEMA kama Lissu atashinda kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Akirudi atapokelewa vizuri ila asidhani atakuja kupata uwakilishi wowote ndani ya chama.
 
Akirudi atapokelewa vizuri ila asidhani atakuja kupata uwakilishi wowote ndani ya chama.
Atakuwa mjumbe wa kamati kuu ni rafiki yake lisu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…