Kuna uwezekano mkubwa Piere mzee wa Liquid sio mzima

Namaanisha jamaa huenda kakosa bahati hata ya kuwa na demu mfupi,maana hata wao wanataka wanaume warefu.

Kingine huenda mzee pesa ujanani hakuishika[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kweli kabisa , wanawake wafupi hawapendi wafupi wenzao, na wanawake warefu hawapendi wanaume wafupi.
 
Ila hata wew hance mtanashati inawezekana sio mzma,

Hivi mwanaume rijali unakuaje top kweny kupost ubuyu humu jf unashindana na wakina warumi,

Yani kwa udaku mkuu humu ndani hakuna anaekupata labda warumi[emoji23]

Point hapa mkuu usi judge watu kwa wanavyo ishi au kuonekana...tukisema tufanye hivyo basi tunaanza na wewe..



Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mleta mada kama ni dume,basi si rizki. Dalili za kutongoza wanaume hizo.
 
Kajiweke kwake ili uje na majibu sahihi...
 
na wewe mtoa post sio mzima maana hatujakuona na mwanamke hata siku moja
 
Kuna watu wanafanana jamani

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…