Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Namaanisha jamaa huenda kakosa bahati hata ya kuwa na demu mfupi,maana hata wao wanataka wanaume warefu.Sijakuelewa mkuu, funguka zaidi.
Kingine huenda mzee pesa ujanani hakuishika😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha jamaa huenda kakosa bahati hata ya kuwa na demu mfupi,maana hata wao wanataka wanaume warefu.Sijakuelewa mkuu, funguka zaidi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kweli kabisa , wanawake wafupi hawapendi wafupi wenzao, na wanawake warefu hawapendi wanaume wafupi.Namaanisha jamaa huenda kakosa bahati hata ya kuwa na demu mfupi,maana hata wao wanataka wanaume warefu.
Kingine huenda mzee pesa ujanani hakuishika[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu Mpe BOGA ili tupate uhakika kama sio mzima!Hana hata demu wa kusingiziwa na umri umeshasonga sana, ukijumlisha na unywaji wa mipombe uliopindukia bila shaka utakuwa umeshapata jibu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo jamaa hata kichwan hamna kitu..wat wafupi ni shida sana ww humuoni steve nyerere?
Kivipi?, thibitisha
Haitajiki kuthibitisha ujinga ulio nao..huna kaz ya kufanya hd ujue nani ana mke nani hana?Kivipi?, thibitisha
Mmmmh kuna kaukweli kwa mbali.