Ccm kama chama hakiheshimu kanuni na sheria zake yenyewe. Samia amezikanyaga kwa kujiteua na kujipitisha kuwa mgombea urais.Mapinduzi (CCM) kiweke mfumo imara na wenye nguvu ndani ya chama, yaani kuwa na ustahimilivu wa hali ya juu kuanzia katiba, sheria, hadi kanuni za chama. Chama kipate watu
Hawana pa kisemea ndugu.Ccm kama chama hakiheshimu kanuni na sheria zake yenyewe. Samia amezikanyaga kwa kujiteua na kujipitisha kuwa mgombea urais.
Huku chair wao ni nani ?CHAUMA
zA chini wanasema mbomoa nyumba yake ndo anakwenda kupewa chama kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo si si chini ya 50. Tunasubiri tuone muujiza wa dunia.Huki chair wao ni nani ?