Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuja kukubaliana na CHADEMA juu ya NO REFORMS NO ELECTION

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo
1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye uchaguzi.. ccm kamwe haiwezi kukubali kutokana na mvurugano mkubwa uliopo ndani yao.. Wanahitaji kuwekana sawa ili wanapoenda kwenye uchaguzi wawe wamoja.. Kipengele hapa ni muda

2. Kuponya majeraha kwa walioonewa, kujeruhiwa nafsi, kuvurugwa nknk.. Vim so vya mapatano vikienda vema watahitaji sasa muda wa kutibu majeraha na kusahau yaliyopita.. Hapa zitahitajika retreat za kutosha sana! Kipengele muda

3. Suala la mgombea urais... Bado kuna malalamiko ya chini kwa chini na namna alivyopatikana! Mbaya zaidi amechafuka na kuchafuliwa vibaya sana ndani ya nchi kwa majirani na nje ya nchi mbali kabisa! Kama kuna watu kati yao waliofanya hii project basi wameifanya kwa ustadi na mafanikio makubwa.. Kwa sasa chama kimechanganyikiwa kiko njia panda.. Je kiende naye hivyohivyo ama kitafute mbadala? Kipengele muda

4. Tabiri mbalimbali.. Wameibuka watu mitandaoni wenye taasisi za kiimani, watu binafsi na wengineo.. Wote kwa ujumla wao wakitabili anguko la chama tawala kupitia mgombea wao
Tabiri hizi zinachagizwa na utabiri mama wa Hayati Sheikh Yahaya wa mwaka 2011
Hata kama tabiri zingine zinatembelea nyota ya tabiri za wengine lakini maneno huumba! Kadiri watu wengi wanapolizungumzia jambo moja kwa umoja.. Basi asili huliumbia roho na kulipa uhai wenye nguvu.. Kwa tabiri hizi zinazotrend kula uchao ccm haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi.. Inatamani kwanza ifanye jambo na watabiri ili kupunguza damage lakini kipengele muda!

Moto wa CHADEMA kwenye mikutano ya hadhara na sumu ya no reforms no election inavyowaingia watu.. Moto wake unaleta damage kubwa sana ccm!
Walijaribu hila na mbinu mbalimbali kuifubaza na kuipasua CHADEMA lakini wameangukia pua... Wamatamani wajaribu tena.. Lakini kipengele muda!

5. Utekaji wa wapinzani, kesi za kubambika, mauaji ya wapinzani, mateso na kupoteza wapinzani si kwamba tu vinachafua taswira ya mgombea bali hata chama chake na kundi kubwa la viongozi... Wanatamani sana waerekebishe haya mambo haraka lakini kipengele muda!

6. Ajira, rushwa, wizi serikalini na mengine yote vinazidi kuididimiza ccm kwenye shimo la tewa.. Wanatamani wadidimie zaidi lakini kipengele muda!

Hitimisho: Kwa vipengele hivyo vichache siioni ccm iliyojerujika vilivyo ilijipanga kuingia kwenye uchaguzi mkuu.. Nao wanalijua fika hilo..
Sasa wafanyeje?
Hakuna namna bali kutafuta mbinu ya kiarifa ili kuweza kukubaliana na CHADEMA kusogeza uchaguzi mbele.. Shida ni moja wakifanya hivyo ni sawa na kuipa CHADEMA point 3 na magoli matatu na wao hawako tayari😂😂😂😂
 
FB_IMG_1749139137988.jpg
 
Hitimisho: Kwa vipengele hivyo vichache siioni ccm iliyojerujika vilivyo ilijipanga kuingia kwenye uchaguzi mkuu.. Nao wanalijua fika hilo..
Sasa wafanyeje?
Hakuna namna bali kutafuta mbinu ya kiarifa ili kuweza kukubaliana na CHADEMA kusogeza uchaguzi mbele.. Shida ni moja wakifanya hivyo ni sawa na kuipa CHADEMA point 3 na magoli matatu na wao hawako tayar
Ukweli unabaki palepale.
Kwamba hakuna tena hiyo CCM unayoizungumzia kwenye mada hii.

CCM ilishakuwa mateka wa Genge la Samia. Hilo jina la CCM linatumika tu kama maonyesho ya hadaa.

Yote yanayofanyika sasa hivi kwa jina la CCM yanafanywa na hilo Genge lililokwisha kichukuwa chama hicho

Niambie ni kiongozi gani sasa hivi ndani ya chama hicho mwenye uwezo wa kutoa sauti; hata huko faraghani kwenyewe kuhusu haya yanayoendelea nchini?
Wote, ndani ya CCM unayoishikilia wewe juu ya hayo uliyo eleza kwenye mada mwenye uthubutu hata wa kuzungumzia tu hayo unayowataka kama chama wayajadili, wayapime au wayatekeleze; nani?

Genge la Samia na yeye mwenyewe; kwa kutumia jina la CCM wamekwisha fikia uamzi, kwamba Oktoba ni lazima iendelee vilevile; iwe mvua au iwe jua, hakuna kitakachobadilishwa.
Hiyo ndiyo njia pekee iliyobaki kwa Samia na Genge kuendelea kuwepo madarakani. Hakuna tena njia nyingine mbadala wa hiyo.
Ndiyo sababu wamejipanga kulipa gharama yoyote ili lengo lao litimie.
Mwanzo wa mipango yao walidhani, wakitisha watu kidogo, kwa kuwateka, kuwapoteza, au kuwaua, mambo yataanza kuwaendea kirahisi ifikapo Oktoba; kwa sababu waTanzania watakuwa na hofu na woga wa kuhoji chochote. Sasa hali imekuwa ni tofauti. Watu hawaachi kuhoji, na kupiga makelele, na kutoonyesha woga.
Kwa hiyo sasa iliyobaki kwa Samia na genge lake kutimiza lengo la kubaki madarakani, italazimu kuwakabili hawa watu kwa mitutu ya bunduki kabla na wakati wa uchafuzi wa Oktoba.

Je, CCM iliyotekwa, itaendelea kuwa mateka wakati wote huu?

Kumeanza kuwepo na maswali, huko huko CCM kwenyewe, na kuanza kutambua umateka wao. Akina Gwajima, watu ambao pengine hawakuwa na kubwa la kupoteza wameanza kuhoji. Kuna hawa wengine wazito kidogo, nao lugha zao, au kutokuwa na lugha kabisa kunaanza kutafsiriwa kuwa alama ya kuzinduka.
Ngoja tuone kitakachotokea kabla ya Bunge kuvunjwa.

Lakini, kwa vyovyote na iwavyo, sioni Samia akipata nafasi ya kuendelea kuwepo madarakani baada ya Oktoba
Yeye na Genge watahadaa wenzao kwamba amalize mitano yake kwa njia yoyote ile. Sioni hili litakavyo wezekana katika mazingira yanayofuata.

CCM watakuwa na bahati sana wakibaki na wabunge wengi wa kutosha; lakini hawatakuwa chama tawala tena.

NO REFORM, NO ELECTION.
 
Tabiri mbalimbali.. Wameibuka watu mitandaoni wenye taasisi za kiimani, watu binafsi na wengineo.. Wote kwa ujumla wao wakitabili anguko la chama tawala kupitia mgombea wao
Tabiri hizi zinachagizwa na utabiri mama wa Hayati Sheikh Yahaya wa mwaka 2011
Hata kama tabiri zingine zinatembelea nyota ya tabiri za wengine lakini maneno huumba! Kadiri watu wengi wanapolizungumzia jambo moja kwa umoja.. Basi asili huliumbia roho na kulipa uhai wenye nguvu.. Kwa tabiri hizi zinazotrend kila uchao ccm haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi.. Inatamani kwanza ifanye jambo na watabiri ili kupunguza damage lakini kipengele muda!
1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga
2。 Tabiri mama ya Sheikh Yahya ilikuwa kweli ila tumeisha ipindua kwa kumaliza kazi mapema
3。Ni kweli kauli huumba,wanaounga mkono mitano tena ni wengi kuliko wanaopinga!, wengi wape!。
4。 Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
5。 October ni kukamilisha tuu taratibu kwa
Unachukua。。。
Unaweka。。。
。。。 (malizia)
P
 
Highlight maneno haya mzee 6+4=10,kete zote sita zimeliwa ,yamebaki magepu sita tupu,october
 
1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga
2。 Tabiri mama ya Sheikh Yahya ilikuwa kweli ila tumeisha ipindua kwa kumaliza kazi mapema
3。Ni kweli kauli huumba,wanaounga mkono mitano tena ni wengi kuliko wanaopinga!, wengi wape!。
4。 Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
5。 October ni kukamilisha tuu taratibu kwa
Unachukua。。。
Unaweka。。。
。。。 (malizia)
P
6. Kwa hali hii Paskali atatupa karata yake Jimbo la Kawe kwani Mbunge wake keshajiondoa mapema kweupe.
 
1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga
2。 Tabiri mama ya Sheikh Yahya ilikuwa kweli ila tumeisha ipindua kwa kumaliza kazi mapema
3。Ni kweli kauli huumba,wanaounga mkono mitano tena ni wengi kuliko wanaopinga!, wengi wape!。
4。 Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
5。 October ni kukamilisha tuu taratibu kwa
Unachukua。。。
Unaweka。。。
。。。 (malizia)
P
Kama hauoni reception ya CHADEMA kwa wananchi basi kama si kipofu miwani inakuhusu
 
Ukweli unabaki palepale.
Kwamba hakuna tena hiyo CCM unayoizungumzia kwenye mada hii.

CCM ilishakuwa mateka wa Genge la Samia. Hilo jina la CCM linatumika tu kama maonyesho ya hadaa.

Yote yanayofanyika sasa hivi kwa jina la CCM yanafanywa na hilo Genge lililokwisha kichukuwa chama hicho

Niambie ni kiongozi gani sasa hivi ndani ya chama hicho mwenye uwezo wa kutoa sauti; hata huko faraghani kwenyewe kuhusu haya yanayoendelea nchini?
Wote, ndani ya CCM unayoishikilia wewe juu ya hayo uliyo eleza kwenye mada mwenye uthubutu hata wa kuzungumzia tu hayo unayowataka kama chama wayajadili, wayapime au wayatekeleze; nani?

Genge la Samia na yeye mwenyewe; kwa kutumia jina la CCM wamekwisha fikia uamzi, kwamba Oktoba ni lazima iendelee vilevile; iwe mvua au iwe jua, hakuna kitakachobadilishwa.
Hiyo ndiyo njia pekee iliyobaki kwa Samia na Genge kuendelea kuwepo madarakani. Hakuna tena njia nyingine mbadala wa hiyo.
Ndiyo sababu wamejipanga kulipa gharama yoyote ili lengo lao litimie.
Mwanzo wa mipango yao walidhani, wakitisha watu kidogo, kwa kuwateka, kuwapoteza, au kuwaua, mambo yataanza kuwaendea kirahisi ifikapo Oktoba; kwa sababu waTanzania watakuwa na hofu na woga wa kuhoji chochote. Sasa hali imekuwa ni tofauti. Watu hawaachi kuhoji, na kupiga makelele, na kutoonyesha woga.
Kwa hiyo sasa iliyobaki kwa Samia na genge lake kutimiza lengo la kubaki madarakani, italazimu kuwakabili hawa watu kwa mitutu ya bunduki kabla na wakati wa uchafuzi wa Oktoba.

Je, CCM iliyotekwa, itaendelea kuwa mateka wakati wote huu?

Kumeanza kuwepo na maswali, huko huko CCM kwenyewe, na kuanza kutambua umateka wao. Akina Gwajima, watu ambao pengine hawakuwa na kubwa la kupoteza wameanza kuhoji. Kuna hawa wengine wazito kidogo, nao lugha zao, au kutokuwa na lugha kabisa kunaanza kutafsiriwa kuwa alama ya kuzinduka.
Ngoja tuone kitakachotokea kabla ya Bunge kuvunjwa.

Lakini, kwa vyovyote na iwavyo, sioni Samia akipata nafasi ya kuendelea kuwepo madarakani baada ya Oktoba
Yeye na Genge watahadaa wenzao kwamba amalize mitano yake kwa njia yoyote ile. Sioni hili litakavyo wezekana katika mazingira yanayofuata.

CCM watakuwa na bahati sana wakibaki na wabunge wengi wa kutosha; lakini hawatakuwa chama tawala tena.

NO REFORM, NO ELECTION.
Lakini, kwa vyovyote na iwavyo, sioni Samia akipata nafasi ya kuendelea kuwepo madarakani baada ya Oktoba
Yeye na Genge watahadaa wenzao kwamba amalize mitano yake kwa njia yoyote ile. Sioni hili litakavyo wezekana katika mazingira yanayofuata.

CCM watakuwa na bahati sana wakibaki na wabunge wengi wa kutosha; lakini hawatakuwa chama tawala tena.
 
Ukweli unabaki palepale.
Kwamba hakuna tena hiyo CCM unayoizungumzia kwenye mada hii.

CCM ilishakuwa mateka wa Genge la Samia. Hilo jina la CCM linatumika tu kama maonyesho ya hadaa.

Yote yanayofanyika sasa hivi kwa jina la CCM yanafanywa na hilo Genge lililokwisha kichukuwa chama hicho

Niambie ni kiongozi gani sasa hivi ndani ya chama hicho mwenye uwezo wa kutoa sauti; hata huko faraghani kwenyewe kuhusu haya yanayoendelea nchini?
Wote, ndani ya CCM unayoishikilia wewe juu ya hayo uliyo eleza kwenye mada mwenye uthubutu hata wa kuzungumzia tu hayo unayowataka kama chama wayajadili, wayapime au wayatekeleze; nani?

Genge la Samia na yeye mwenyewe; kwa kutumia jina la CCM wamekwisha fikia uamzi, kwamba Oktoba ni lazima iendelee vilevile; iwe mvua au iwe jua, hakuna kitakachobadilishwa.
Hiyo ndiyo njia pekee iliyobaki kwa Samia na Genge kuendelea kuwepo madarakani. Hakuna tena njia nyingine mbadala wa hiyo.
Ndiyo sababu wamejipanga kulipa gharama yoyote ili lengo lao litimie.
Mwanzo wa mipango yao walidhani, wakitisha watu kidogo, kwa kuwateka, kuwapoteza, au kuwaua, mambo yataanza kuwaendea kirahisi ifikapo Oktoba; kwa sababu waTanzania watakuwa na hofu na woga wa kuhoji chochote. Sasa hali imekuwa ni tofauti. Watu hawaachi kuhoji, na kupiga makelele, na kutoonyesha woga.
Kwa hiyo sasa iliyobaki kwa Samia na genge lake kutimiza lengo la kubaki madarakani, italazimu kuwakabili hawa watu kwa mitutu ya bunduki kabla na wakati wa uchafuzi wa Oktoba.

Je, CCM iliyotekwa, itaendelea kuwa mateka wakati wote huu?

Kumeanza kuwepo na maswali, huko huko CCM kwenyewe, na kuanza kutambua umateka wao. Akina Gwajima, watu ambao pengine hawakuwa na kubwa la kupoteza wameanza kuhoji. Kuna hawa wengine wazito kidogo, nao lugha zao, au kutokuwa na lugha kabisa kunaanza kutafsiriwa kuwa alama ya kuzinduka.
Ngoja tuone kitakachotokea kabla ya Bunge kuvunjwa.

Lakini, kwa vyovyote na iwavyo, sioni Samia akipata nafasi ya kuendelea kuwepo madarakani baada ya Oktoba
Yeye na Genge watahadaa wenzao kwamba amalize mitano yake kwa njia yoyote ile. Sioni hili litakavyo wezekana katika mazingira yanayofuata.

CCM watakuwa na bahati sana wakibaki na wabunge wengi wa kutosha; lakini hawatakuwa chama tawala tena.

NO REFORM, NO ELECTION.
Na iwe hivyo katika jina la Yesu!!
 
1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga
2。 Tabiri mama ya Sheikh Yahya ilikuwa kweli ila tumeisha ipindua kwa kumaliza kazi mapema
3。Ni kweli kauli huumba,wanaounga mkono mitano tena ni wengi kuliko wanaopinga!, wengi wape!。
4。 Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
5。 October ni kukamilisha tuu taratibu kwa
Unachukua。。。
Unaweka。。。
。。。 (malizia)
P
Katika watu wa naa wewe ni hatari zaidi
Wewe ni zaidi ya Poop
 
Jamani watanzania msichokielewa hapo ni nini?Huu mwaka hauna uchaguzi jamani mbn ipo wazi?unadhan bibi hiyo na ukatili wake woote atakibali kugombea uraisi ashindanishwe na Hashim Rungwe?does it make sense?huo uraisi utakua legit?Lazima CHADEMA ishiriki uchaguzi ili uwe uchaguzi unaotambulika!Vinginevo hakuna uchaguzi tusijidanganye.

Na kuhusi tabiri hizo aisee ni kweli nawananchi hdi wanasali na kufunga kwa ajili ya huyo mama ajirudi tu arudi kwa wananchi,hali mbaya sana kitaa.Yani hali ni mbaya kweli kweli so hata wakilazimisha huyo mama hatotawala kuna nabii mmoja alisema hilo!
CCM kaeni chini na CHADEMA muzungumze mpate mutual ground la sivo mambo yatakua si mambo!
 
Hata sisi ambao tuna, maono nusu nusu tunaona kabisa nyakati zikiamua mustakabali mwema wa taifa letu.

Na wabishi wa hili daima huwa na maslahi binafsi tu.
 
Back
Top Bottom