Tubaki humu😊😊Kadiri watu wengi wanapolizungumzia jambo moja kwa umoja.. Basi asili huliumbia roho na kulipa uhai wenye nguvu
Ukweli unabaki palepale.Hitimisho: Kwa vipengele hivyo vichache siioni ccm iliyojerujika vilivyo ilijipanga kuingia kwenye uchaguzi mkuu.. Nao wanalijua fika hilo..
Sasa wafanyeje?
Hakuna namna bali kutafuta mbinu ya kiarifa ili kuweza kukubaliana na CHADEMA kusogeza uchaguzi mbele.. Shida ni moja wakifanya hivyo ni sawa na kuipa CHADEMA point 3 na magoli matatu na wao hawako tayar
1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na YangaTabiri mbalimbali.. Wameibuka watu mitandaoni wenye taasisi za kiimani, watu binafsi na wengineo.. Wote kwa ujumla wao wakitabili anguko la chama tawala kupitia mgombea wao
Tabiri hizi zinachagizwa na utabiri mama wa Hayati Sheikh Yahaya wa mwaka 2011
Hata kama tabiri zingine zinatembelea nyota ya tabiri za wengine lakini maneno huumba! Kadiri watu wengi wanapolizungumzia jambo moja kwa umoja.. Basi asili huliumbia roho na kulipa uhai wenye nguvu.. Kwa tabiri hizi zinazotrend kila uchao ccm haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi.. Inatamani kwanza ifanye jambo na watabiri ili kupunguza damage lakini kipengele muda!
Highlight maneno haya mzee 6+4=10,kete zote sita zimeliwa ,yamebaki magepu sita tupu,october1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga
2。 Tabiri mama ya Sheikh Yahya ilikuwa kweli ila tumeisha ipindua kwa kumaliza kazi mapema
3。Ni kweli kauli huumba,wanaounga mkono mitano tena ni wengi kuliko wanaopinga!, wengi wape!。
4。 Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
5。 October ni kukamilisha tuu taratibu kwa
Unachukua。。。
Unaweka。。。
。。。 (malizia)
P
6. Kwa hali hii Paskali atatupa karata yake Jimbo la Kawe kwani Mbunge wake keshajiondoa mapema kweupe.1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga
2。 Tabiri mama ya Sheikh Yahya ilikuwa kweli ila tumeisha ipindua kwa kumaliza kazi mapema
3。Ni kweli kauli huumba,wanaounga mkono mitano tena ni wengi kuliko wanaopinga!, wengi wape!。
4。 Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
5。 October ni kukamilisha tuu taratibu kwa
Unachukua。。。
Unaweka。。。
。。。 (malizia)
P
Kama hauoni reception ya CHADEMA kwa wananchi basi kama si kipofu miwani inakuhusu1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga
2。 Tabiri mama ya Sheikh Yahya ilikuwa kweli ila tumeisha ipindua kwa kumaliza kazi mapema
3。Ni kweli kauli huumba,wanaounga mkono mitano tena ni wengi kuliko wanaopinga!, wengi wape!。
4。 Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
5。 October ni kukamilisha tuu taratibu kwa
Unachukua。。。
Unaweka。。。
。。。 (malizia)
P
Lakini, kwa vyovyote na iwavyo, sioni Samia akipata nafasi ya kuendelea kuwepo madarakani baada ya OktobaUkweli unabaki palepale.
Kwamba hakuna tena hiyo CCM unayoizungumzia kwenye mada hii.
CCM ilishakuwa mateka wa Genge la Samia. Hilo jina la CCM linatumika tu kama maonyesho ya hadaa.
Yote yanayofanyika sasa hivi kwa jina la CCM yanafanywa na hilo Genge lililokwisha kichukuwa chama hicho
Niambie ni kiongozi gani sasa hivi ndani ya chama hicho mwenye uwezo wa kutoa sauti; hata huko faraghani kwenyewe kuhusu haya yanayoendelea nchini?
Wote, ndani ya CCM unayoishikilia wewe juu ya hayo uliyo eleza kwenye mada mwenye uthubutu hata wa kuzungumzia tu hayo unayowataka kama chama wayajadili, wayapime au wayatekeleze; nani?
Genge la Samia na yeye mwenyewe; kwa kutumia jina la CCM wamekwisha fikia uamzi, kwamba Oktoba ni lazima iendelee vilevile; iwe mvua au iwe jua, hakuna kitakachobadilishwa.
Hiyo ndiyo njia pekee iliyobaki kwa Samia na Genge kuendelea kuwepo madarakani. Hakuna tena njia nyingine mbadala wa hiyo.
Ndiyo sababu wamejipanga kulipa gharama yoyote ili lengo lao litimie.
Mwanzo wa mipango yao walidhani, wakitisha watu kidogo, kwa kuwateka, kuwapoteza, au kuwaua, mambo yataanza kuwaendea kirahisi ifikapo Oktoba; kwa sababu waTanzania watakuwa na hofu na woga wa kuhoji chochote. Sasa hali imekuwa ni tofauti. Watu hawaachi kuhoji, na kupiga makelele, na kutoonyesha woga.
Kwa hiyo sasa iliyobaki kwa Samia na genge lake kutimiza lengo la kubaki madarakani, italazimu kuwakabili hawa watu kwa mitutu ya bunduki kabla na wakati wa uchafuzi wa Oktoba.
Je, CCM iliyotekwa, itaendelea kuwa mateka wakati wote huu?
Kumeanza kuwepo na maswali, huko huko CCM kwenyewe, na kuanza kutambua umateka wao. Akina Gwajima, watu ambao pengine hawakuwa na kubwa la kupoteza wameanza kuhoji. Kuna hawa wengine wazito kidogo, nao lugha zao, au kutokuwa na lugha kabisa kunaanza kutafsiriwa kuwa alama ya kuzinduka.
Ngoja tuone kitakachotokea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Lakini, kwa vyovyote na iwavyo, sioni Samia akipata nafasi ya kuendelea kuwepo madarakani baada ya Oktoba
Yeye na Genge watahadaa wenzao kwamba amalize mitano yake kwa njia yoyote ile. Sioni hili litakavyo wezekana katika mazingira yanayofuata.
CCM watakuwa na bahati sana wakibaki na wabunge wengi wa kutosha; lakini hawatakuwa chama tawala tena.
NO REFORM, NO ELECTION.
Na iwe hivyo katika jina la Yesu!!Ukweli unabaki palepale.

Katika watu wa naa wewe ni hatari zaidi1。Japo ni ikweli tabiri zipo,sio tabiri kweli ni ubashiri tuu kama za mpira wa Simba na Yanga