Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WakoraKenya wamefanya Siasa
Eti Lockdown inafanyika usiku wakati automatically watu wanakuwa wamesharudi home
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu.....lisemwalo lipoTufanye shopping mapema hali mbaya inakuja.. Bidhaa zitakuwa adimu na bei zitapaa
Jr[emoji769]
Mimi naona tujiachie tuTuige Kenya wao hawatoki usiku tu na wamezuia watu kutoka na kuingia Nairobi. Lockdown hapa kweli itakuwa na madhara makubwa kuliko corona yenyewe
Serikali ya wanyonge itawaletea chakula, maji, asali na maziwa majumbani mwenu.Kazi kwetu wanyonge pa kupata hela
Kiundani naona LOCKDOWN ndio ina maana ya wa kufa na wafe.
Mshana hivi hakuna dawa ya kienyeji kuwaua/kupunguza hao mavirus watu wakaendelea na shughuli zao?We still have a week or two go
Stages za maambukizi (Epidemiological perspective)
Stage 0- 0 cases
Stage 1 -imported cases
Stage 2- local cases (cases appearing in some cities but not imported. You can still trace the source)
Stage 3 - Community spread (mnaambukizana wenyewe kwa wenyewe na huwezi ku-trace network yake.)
Jr[emoji769]
Total lockdown kwa sisi naifananisha na situation ambayo mtu ameamua kutokula chakula kwa sababu ameshauriwa kitaalamu kuwa kina madhara mwilini, kwa hiyo ameamua kutokula ili mwili wake usidhurike na chakula hicho, kwa matarajio ya kuishi maisha marefu,..., it's a paradoxTotal lockdown ni impossible kwa mazingira yetu na viongozi wanafahamu hilo..
Solution ni kufunga biashara zote ambazo sio vital kwa survival kama maduka ya hardware ,maduka ya vyombo ,maduka ya simu n.k then waache maduka ya vyakula na maduka ya madawa tu..
Wakifanya hivyo watapunguza idadi ya watu wanaotembea tembea hovyo.
Mshana hivi hakuna dawa ya kienyeji kuwaua/kupunguza hao mavirus watu wakaendelea na shughuli zao?
wazungu wametufanya tuachane na miziz yetu ambayo ilikua konki haswaaaa,ss wanatucontrol tu watu wakae ndan dunia nzima eti kisa wao wamekosa dawa.
Kuna sehemu tumeteleza ktk mapokeo ya dawa zeti kuaminishwa si kitu!
Hebu wajuz wajitokeze tuwaonyeshe africa sisi hatukosi dawa kwa gonjwa lolote tukianza na hii Covif-19
Jaribu mizizi ya muarobainiMshana hivi hakuna dawa ya kienyeji kuwaua/kupunguza hao mavirus watu wakaendelea na shughuli zao?
wazungu wametufanya tuachane na miziz yetu ambayo ilikua konki haswaaaa,ss wanatucontrol tu watu wakae ndan dunia nzima eti kisa wao wamekosa dawa.
Kuna sehemu tumeteleza ktk mapokeo ya dawa zeti kuaminishwa si kitu!
Hebu wajuz wajitokeze tuwaonyeshe africa sisi hatukosi dawa kwa gonjwa lolote tukianza na hii Covif-19