Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Tunafanya mzaha na hii kitu.....
Watu wanashindwa kuelewa kwa nini WHO UN wanasema worst to come kwa Africa
Ni hivi walio hatarini na huyu virus ni Wagonjwa wa HIV/AIDS TB CANCER na magonjwa mengine yenye kupunguza kinga za mwili
Africa imeathirika sana na Ukimwi TB sasa Cancer imekuwa tishio hapa ndio shida itakapoanzia. ARV haitaweza kuwalinda tena endapo utakumbwa na virusi
Rejea kwa taarifa za wale tuliokwishawapoteza na kirusi hiki walikuwa na underlying medical condition iliyowapelekea kupoteza maisha fasta.
Tuwe wasikivu hata kwa sekunde!