Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umbuje mimi nimekusoma vyema sana!
Asante kwa ushauri mzuri tutaufanyia kazi kadri iwezekanavyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli mchunguKama watatoa kiroba cha mchele na dumu la mafuta ya kula, kiroba cha sukari na unga kila kaya basi lockdown itakuwa inawezekana. Kinyume na hapo ni chenga za mwili tu zitaendelea.
Na hii iwe kila mwezi bila kusahau kutuombea kwa wenye nyumba msamaha wa kodi kwa muda wa miezi 6!
I don't like the idea. Sio suluhisho, what if virus vikiwa vikali for Long time, why ebola ilikuwa hapo Congo na hatukuenda lockdown?
Corona is real but over hyped, overrated.
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Mpaka kesho sielewi Yanga alimfungaje Simba ile tarehe 8 siku ya wanawake Duniani lakini ndio hivyo tena wanasema hata kama ni ushindi Simba anaweza apewe na ligi iwe imeisha tusubirie mwakani tena, hapa Mshana sina uchawi wowote wa kikwetu au wa kitaalamu lakini hisia zangu tu ni kwamba mwisho wa mchezo mtakuwa mmefungwa 1- 0 na wengi hawataamini na wengine wataanza kuamini maneno ya mitume wa Kawe na Ubungo kwani neno litakuwa limetimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwetu sidhani mkuu,tumeona majirani serikali imemsaidia corona kuua raia wake,tuendelee kujikinga kwa kadiri inavyowezekana na kujiepusha kukaa kwenye misongamano,pia kama hauna issue ni bora kutulia home kama mimi ninavyofanya leo.
macson
Hakuna Lockdown Tanzania kamwe!Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Sidhani na siamini kama "total" au "partial lockdown" ndiyo mwrobaini wa kuzuia kusambaa kwa virusi vya korona. Yeyote mwenye mawazo hayo ni mwenye uwezo wa kumudu maisha hata akijifungia ndani. Kama ni hivyo kwa nini asifanye yeye na familia yake?Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Mshana Jr, Dsm mwishoni mwa mwaka jana (2019) kulikuwa na mlipuko wa mafua makali, hadi Wizara ya Afya ikalazimika kutoa tamko la tahadhari. Waliopatwa na mfua hayo walikuwa na dalili zote za ugonjwa wa COVID-19. Yawezekana kuna waliopoteza maisha lakini umepita bila "lickdown" au masharti ya kujikinga na maambukizi kama sasa.Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Partial lockdown ndiyo ikoje hiyo?Kwa Tz ikipigwa full lockdown ni hatari, labda iwe Partial lockdown.
Tusiige tu tuwe na ushahidi wa kile tunachokiigaTuige Kenya wao hawatoki usiku tu na wamezuia watu kutoka na kuingia Nairobi. Lockdown hapa kweli itakuwa na madhara makubwa kuliko corona yenyewe