Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
We still have a week or two go

Stages za maambukizi (Epidemiological perspective)

Stage 0- 0 cases
Stage 1 -imported cases
Stage 2- local cases (cases appearing in some cities but not imported. You can still trace the source)
Stage 3 - Community spread (mnaambukizana wenyewe kwa wenyewe na huwezi ku-trace network yake.)

Jr[emoji769]
 
Itafikia tu kama walianza 3 mpaka 46 ila inaweza ikawa sio strict kama nchi nyengine
 
Mshana hivi hakuna dawa ya kienyeji kuwaua/kupunguza hao mavirus watu wakaendelea na shughuli zao?


wazungu wametufanya tuachane na miziz yetu ambayo ilikua konki haswaaaa,ss wanatucontrol tu watu wakae ndan dunia nzima eti kisa wao wamekosa dawa.
Kuna sehemu tumeteleza ktk mapokeo ya dawa zeti kuaminishwa si kitu!

Hebu wajuz wajitokeze tuwaonyeshe africa sisi hatukosi dawa kwa gonjwa lolote tukianza na hii Covif-19
 
Total lockdown kwa sisi naifananisha na situation ambayo mtu ameamua kutokula chakula kwa sababu ameshauriwa kitaalamu kuwa kina madhara mwilini, kwa hiyo ameamua kutokula ili mwili wake usidhurike na chakula hicho, kwa matarajio ya kuishi maisha marefu,..., it's a paradox
 
Kitunguu saumu limau asali na maji ya moto ni tiba tosha wala hatuhitaji kuingia maporini kutafuta mizizi
Jr[emoji769]
 
Jaribu mizizi ya muarobaini
Katika hizo dawa arobaini inayotibu corona imo
Si unaona wanavyoulizana kuhusu cloroquine inatibu
Basi cloroquine ya kienyeji ni muarobaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mungu yu pamoja nasi, lockdown itakua kwa wasioamini. Imani bila matendo imekufa, huenda hili ni jaribu tu,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…