Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Kazi unayo mzee mwenzangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Nimesoma tena na tena sijaona kosa la hii mada zaidi imetoa tahadhari na heading iko very clear ....KUNA UWEZEKANO.....Ila ni vizuri kuna wakati watu wakipata nafasi ya kutoa nyongo unawaacha wafanye hivyo Ili wapunguze futuko ndani yao[emoji1787]
 
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla

Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?

Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?

Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa

Jr[emoji769]
Mshana mizimu yako ilikupotosha
 
We still have a week or two go

Stages za maambukizi (Epidemiological perspective)

Stage 0- 0 cases
Stage 1 -imported cases
Stage 2- local cases (cases appearing in some cities but not imported. You can still trace the source)
Stage 3 - Community spread (mnaambukizana wenyewe kwa wenyewe na huwezi ku-trace network yake.)

Jr[emoji769]
Muone huyu mpiga ramli alivyokuwa anatisha watanzania! Eti leo anasema alikuwa anawapa tahadhari!! Eti anasema "We still have a week or two to go". Anastahili kufungwa jiwe na kutupwa katikati ya bahari kama isemavyo Bibilia.
 
Bado tunamhitaji
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla

Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?

Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?

Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa

Jr[emoji769]
huyu jamaa nmegundua ni mpiga ramli tu hana credibility yoyote.
 
wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Wewe ni mwanangu si vizuri nikabishana na wewe..bado una safari ndefu kimaisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom