mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ila hii Corona ilivyoisha Tanzania.....Mungu ndio anajua!
Mungu alitubariki sana watanzania kwa kutupatia rais mwenye imani na maono ya ajabu. Believe me dunia imejifunza mengi sana toka Tanzania haswa Kwa John Pombe Magufuli. Na kwa mafanikio tuliyopata baada ya CORONA kama nchi tumeweza kufubaza imani iliyokua inalazimishwa dunia kuamini kwamba nchi zilock down hadi 2021
Japo hawataki kuadmit ukweli unabaki kuwa John Pombe Magufuli ni rais bora wa Karne, Tanzania ni baba lao na CCM ni chama lao💥😁🇹🇿😍 🔥💣🔥🔥