Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Wanasayansi wa tanzania ni hewa kabisa. Mlikuwa wapi muda wote huo mmekuja kujitokeza saivi mnaleta arguments zenu za isolation sijui blahblah gani
Wakati corona imepamba moto mlijificha mbali mkiomba wazungu watoe dawa mapema leo hii mnajifanya wajuaji eti ooh isolation sijui nn
Usiwalaumu wataalamu.Wataalamu genuine hawakubali uwepo wa C-19,this is an imposed agenda by the NWO,ni lazima muelewe.Wataalamu wameshasema sana lakini hawasikilizwi.Psychopaths wa NWO wameng'ng'ania tu kuendelea na agenda yao ovu kabisa kuwahi kutekelezwa kwa wanadamu.Fuata links zifuatazo uone.

Astounding COVID-19 Revelations … A Must Read! | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary

PCR Test Inventor Kary Mullis Tells the Truth About the Flawed COVID-19 Test | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary

Huu ni mpango mpana wa dunia wa kishetani ambao utatekelezwa hata kama wanadamu hawataki au Wataalamu wanaona haufai.Kwa COVID-19 utaalamu umewekwa pembeni kabisa mkuu.Let me say this,yajayo au the end game is chilling indeed. Mwisho usimuamini Mshana,aliotuletea hapa ni udaku tu.
 
Mshana,wewe unashangilia lockdown kwa kuwa agenda ya C-19 ni ya Lucifer,the end game ikiwa kumleta the Anti-Christ,hii sio siri tena kwa kuwa Bill Gates tayari ameshapata patent yenye namba 060606 ya vaccine. Nani asiyejua Mshana who you belong to.Ila naomba these psychopaths na wewe mjue kwamba there is a hell which together you will have to face,and that will be very daunting time indeed.

Fuata link ifuatayo uone ukweli huo.

Nimesema KUNA UWEZEKANO ....hebu soma heading tena tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko busy kumdiss mtoa mada lakini hatujawahi kufika pale External Ubungo kwenye maabara ya Taifa kupata taarifa halisi zisizotangazwa kwa sababu maalum za kisiasa
Hakuna hata mmoja wenu nyie wakosoaji wapuuzi wenye takwimu za,mipakani za wabongo wangapi wanazuiwa kuingia nchi za majirani zetu kwasababu ya korona

Kaka mkubwa nadhani point iliyopo ni kwamba hakuna vifo vilivyosababishwa na corona kutokana na idada uliyoitaja, hii ni kutokana data kutoka kwa ndugu, jamaa na majirani.
 
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla

Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai.

Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?

Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?

Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa

Jr[emoji769]
Mshana unasemaje sasa?? Maana hatukuwa na lokudauni😎
 
Tuko busy kumdiss mtoa mada lakini hatujawahi kufika pale External Ubungo kwenye maabara ya Taifa kupata taarifa halisi zisizotangazwa kwa sababu maalum za kisiasa
Hakuna hata mmoja wenu nyie wakosoaji wapuuzi wenye takwimu za,mipakani za wabongo wangapi wanazuiwa kuingia nchi za majirani zetu kwasababu ya korona

Sent using Jamii Forums mobile app
Pimbi wewe kama gonjwa lingeathiri kwa kiwango mlichotaka kutuaminisha isingekuwa mpka uende hapo ubungo uone takwimu. Wagonjwa wangekuwa ndio hawatunaishi nao tungeona na kuzikana. Sasa mtaani hatuwaoni unataka tukaangalie number? Teehe tehe teeeheeee
 
Usipaniki lete takwimu kama kweli wewe ni smart upstairs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom