Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla

Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai.

Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?

Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?

Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa

Jr[emoji769]

Dalili zipo. Magufuli anaweza kutangaza total lockdown ili uchaguzi usifanyike na yeye aendelee kutawala. Ameona kimbunga/nyomi ya LISSU na kwamba yeye hachomiki.
 
Tuko busy kumdiss mtoa mada lakini hatujawahi kufika pale External Ubungo kwenye maabara ya Taifa kupata taarifa halisi zisizotangazwa kwa sababu maalum za kisiasa
Hakuna hata mmoja wenu nyie wakosoaji wapuuzi wenye takwimu za,mipakani za wabongo wangapi wanazuiwa kuingia nchi za majirani zetu kwasababu ya korona

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiloooo 🤪🤪🤪🤪🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kweli Rais wetu mpendwa hatua zake zilikuwa za baraka sanaaaa.. kwa hili pia dio maana 2020 anaibeba bila wasiwasi..

Sweden ya Africa

Balifikiri tutakufaaaaaa.. bameumbuka.. mvhi za jirani.. wanatamani wangemfata hatua zake..

Hakuna Mungu kama Wewe....imba💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

Magufuli 2020 💯
 
Kaka nitakupitia.. tukapige kura pamoja.. JJJJJJJ PPPPPPP MMMMMMM anza kuiota.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?

Hii hata sitandadi wani hatakuunga mukono..
Unafahamu lile neno
Nansensi.. basi imekujaa wewe.. duniani hakuna cha bure.. ukitaka cheo wania.. huwezi.. fanya yako upate mkate wa kula.. na usiwe mumoja iwe mingiiii...
 
Mungu alitubariki sana watanzania kwa kutupatia rais mwenye imani na maono ya ajabu. Believe me dunia nimejifunza mengi sana toka Tanzania haswa Kwa John Pombe Magufuli. Na kwa mafanikio tuliyopata baada ya CORONA kama nchi tumeweza kufubaza imani iliyokua inalazimishwa dunia kuamini kwamba nchi zilock down hadi 2021
Japo hawataki kuadmit ukweli unabaki kuwa John Pombe Magufuli ni rais bora wa Karne, Tanzania ni baba lao na CCM ni chama lao[emoji95][emoji16][emoji1241][emoji7] [emoji91][emoji378][emoji91][emoji91]
Mungu anajibu maombi [emoji2969]
 
Mzee ukisema ulikosea wala hutapungukiwa na kitu, just admit hili bango ni kama ule utabiri wako wa Simba vs Yanga, you won't lose a thing.
Yaani hataki kukubali tu kama amekosea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani corona ingekuwepo basi wa kwanza kufa tungekuwa sisi wanafunzi wa vyuo maana walitutanguliza sisi kwa majaribio.
Cha ajabu ni kwamba tangu tumeenda mwezi June hadi tunarudi September Wala hatujawahi vaa barakoa na tulikuwa maelfu ya watu..sijawahi ona watu wanakufa kwa Corona.

Siasa nyingine uchwara sana,na yule kiongozi wao alikuwa anashadadia Sana Corona iendelee kutetema lakini Mungu si Lisu Wala Mshana [emoji23][emoji1787]
Mawazo ya Mungu ni tofuati na ya mwanadamu [emoji2772]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom