Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #361
Nimeandika KUNA UWEZEKANO unajua maana yake?Mshana unasemaje sasa?? Maana hatukuwa na lokudauni[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeandika KUNA UWEZEKANO unajua maana yake?Mshana unasemaje sasa?? Maana hatukuwa na lokudauni[emoji41]
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai.
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Utabiri umefeli vibayaaaaa hahahaaMshana unasemaje sasa?? Maana hatukuwa na lokudauni[emoji41]
Siwezi kukupinga kutokana na neno UWEZEKANO, lakini nikuulize una ndugu au rafiki hata mmoja aliyeenda ardhini sababu ya mgonjwa hilo?Vifo vipo na mazuio ni mengi ..fika sehemu nilizotaja utapata takwimu halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana = Zitto = Lisu= mboweSiwezi kukupinga kutokana na neno UWEZEKANO, lakini nikuulize una ndugu au rafiki hata mmoja aliyeenda ardhini sababu ya mgonjwa hilo?
Hujiiti lakini mimi ninakuita hivyo, sawa?...BTW sijiiti Mshana Jr...
🤣🤣🤣🤣Wewe mchawi wa JF unayejiita Mshana Jr ni mtu wa magumashi.
Tuko busy kumdiss mtoa mada lakini hatujawahi kufika pale External Ubungo kwenye maabara ya Taifa kupata taarifa halisi zisizotangazwa kwa sababu maalum za kisiasa
Hakuna hata mmoja wenu nyie wakosoaji wapuuzi wenye takwimu za,mipakani za wabongo wangapi wanazuiwa kuingia nchi za majirani zetu kwasababu ya korona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.
Halafu bado unashiriki kuchangia upumbavu? Huoni wewe ndio mpumbavu zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.Kaka nitakupitia.. tukapige kura pamoja.. JJJJJJJ PPPPPPP MMMMMMM anza kuiota.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.Kaka nitakupitia.. tukapige kura pamoja.. JJJJJJJ PPPPPPP MMMMMMM anza kuiota.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.
TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee ukisema ulikosea wala hutapungukiwa na kitu, just admit hili bango ni kama ule utabiri wako wa Simba vs Yanga, you won't lose a thing.Vifo vipo na mazuio ni mengi ..fika sehemu nilizotaja utapata takwimu halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani [emoji23][emoji23][emoji119]Kwani kuna kitu alichotabiri/kusema kikawahi kutokea?
Mungu anajibu maombi [emoji2969]Mungu alitubariki sana watanzania kwa kutupatia rais mwenye imani na maono ya ajabu. Believe me dunia nimejifunza mengi sana toka Tanzania haswa Kwa John Pombe Magufuli. Na kwa mafanikio tuliyopata baada ya CORONA kama nchi tumeweza kufubaza imani iliyokua inalazimishwa dunia kuamini kwamba nchi zilock down hadi 2021
Japo hawataki kuadmit ukweli unabaki kuwa John Pombe Magufuli ni rais bora wa Karne, Tanzania ni baba lao na CCM ni chama lao[emoji95][emoji16][emoji1241][emoji7] [emoji91][emoji378][emoji91][emoji91]
Yaani hataki kukubali tu kama amekosea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee ukisema ulikosea wala hutapungukiwa na kitu, just admit hili bango ni kama ule utabiri wako wa Simba vs Yanga, you won't lose a thing.
Najua Mshana kwamba huu ni udaku tu,do not worry.Ila si ndio kushabikia kwenyewe huko,kwa nini utuletee udaku kama hushabikii?