Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #401
Nilikuwa sahihi kuweka TAHADHARI...sikukosea na SIKUCHEMKA...mamlaka zilisitisha updates za huu ugonjwa na hili likaleta shida sana lakini SIASA zikazidi maarifa na ujuzi kwakuwa kwa Tanzania siasa ndio kila kituIla kuwaambia wengine waweke data kuwa hakuna covid 19 Tz ni kazi yao?! Lengo la mada yako ilikuwa kututahadharisha na ujio wa lockdown,kinyuma na maelezo ya wizara ya afya Tz, yaani wewe ulikuwa unajua hali ambayo inatukabili kinyume na wizara inavyodai. Ila muda umetueleza wizara walikuwa sahihi na wewe ulikuwa hujui usemacho. Waliofufua mada hii wanakuomba tu ukubali wakati unaandika hii mada ulifikiri unajua kumbe hujui na hujui kama hujui. Hamna ubaya kwenye hilo kwani wengi wetu tunachemkaga mambo mbalimbali kwenye maisha na jamii kwa jumla.
Baada ya hapo tukashurutishwa na wenzetu kufanya vipimo kwanza kama tunataka kwenda kwao...kwenye hivyo vipimo waathirika wa covid wapo ...lakini hili halisemwi na sababu ziko wazi
Nimetakiwa kuthibitisha ..nimethibitisha kwa kutaja chanzo lakini mnaosema hakuna covid hamna ithibati yoyote zaidi ya maneno ya wanasiasa
Nakubali kuomba radhi ninapokosea na nimefanya hivyo mara nyingi tu...sikubali kuomba radhi kwa kitu ambacho sijakosea
Sent using Jamii Forums mobile app