Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Ila kuwaambia wengine waweke data kuwa hakuna covid 19 Tz ni kazi yao?! Lengo la mada yako ilikuwa kututahadharisha na ujio wa lockdown,kinyuma na maelezo ya wizara ya afya Tz, yaani wewe ulikuwa unajua hali ambayo inatukabili kinyume na wizara inavyodai. Ila muda umetueleza wizara walikuwa sahihi na wewe ulikuwa hujui usemacho. Waliofufua mada hii wanakuomba tu ukubali wakati unaandika hii mada ulifikiri unajua kumbe hujui na hujui kama hujui. Hamna ubaya kwenye hilo kwani wengi wetu tunachemkaga mambo mbalimbali kwenye maisha na jamii kwa jumla.
Shida nikuwa humu Jf wapo wapuuzi wanajiona wao ndio bora sana
Kuongopa au Kupinga jambo la Serikali wanajiona Kichwani wapo vizuri kumbe Vilaza tu
Wanajazana upepo humu kwa kujifanya wajuaji Kila kitu wao
Hovyo kabisa
 
Ila kuwaambia wengine waweke data kuwa hakuna covid 19 Tz ni kazi yao?! Lengo la mada yako ilikuwa kututahadharisha na ujio wa lockdown,kinyuma na maelezo ya wizara ya afya Tz, yaani wewe ulikuwa unajua hali ambayo inatukabili kinyume na wizara inavyodai. Ila muda umetueleza wizara walikuwa sahihi na wewe ulikuwa hujui usemacho. Waliofufua mada hii wanakuomba tu ukubali wakati unaandika hii mada ulifikiri unajua kumbe hujui na hujui kama hujui. Hamna ubaya kwenye hilo kwani wengi wetu tunachemkaga mambo mbalimbali kwenye maisha na jamii kwa jumla.
We jamaa una akili Sana[emoji122]
 
Shida nikuwa humu Jf wapo wapuuzi wanajiona wao ndio bora sana
Kuongopa au Kupinga jambo la Serikali wanajiona Kichwani wapo vizuri kukbe Vilaza tu
Wanajazana upepo humu kwa kujifanya wajuaji Kila kitu wao
Hovyo kabisa
Hasa huyu Kipangaspecial
Anajionaga ana akili kuzidi serikali yetu tukufu[emoji1787]
 
Ila kuwaambia wengine waweke data kuwa hakuna covid 19 Tz ni kazi yao?! Lengo la mada yako ilikuwa kututahadharisha na ujio wa lockdown,kinyuma na maelezo ya wizara ya afya Tz, yaani wewe ulikuwa unajua hali ambayo inatukabili kinyume na wizara inavyodai. Ila muda umetueleza wizara walikuwa sahihi na wewe ulikuwa hujui usemacho. Waliofufua mada hii wanakuomba tu ukubali wakati unaandika hii mada ulifikiri unajua kumbe hujui na hujui kama hujui. Hamna ubaya kwenye hilo kwani wengi wetu tunachemkaga mambo mbalimbali kwenye maisha na jamii kwa jumla.

Hawa ndio wenye vinyongo na serikali

Unakuta anaanzisha maada kumbe ana lengo lake

Aje tu kukiri kuwa alichemka
 
HiVI NANI KAIFUFUA HII THREAD[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekuja kujua hata zila Covid 19 tests za siri walizofanya Kwenye Mapapai, Oil chafu(akina Jabir Hamza), Mafenesi nk Walikua Sahihi Na walikuj kugundua vifaa vile vimekua contaminated tayari na Covid 19
Jamaa wana akili Sana
JamiiForums1950813087.jpg
 
Pimbi wewe kama gonjwa lingeathiri kwa kiwango mlichotaka kutuaminisha isingekuwa mpka uende hapo ubungo uone takwimu. Wagonjwa wangekuwa ndio hawatunaishi nao tungeona na kuzikana. Sasa mtaani hatuwaoni unataka tukaangalie number? Teehe tehe teeeheeee
Haaaaa Haaaaa 😂 mbavu zangu zimevunjika 😂😂😂😂😂😂, sasa sijui itakuwaje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom