Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Uchaguzi ungefanyika JF wangepatapo ka ushindi ila huku tulipo JPM anashinda mapema mno.

Naombea tu JF isizimwe siku hio tuwaone watakavyokua wanapaparika eti wameibiwa kura.
Halafu kweli nimewaona kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja ifike hiyo October 28 watapoteana humu,,sasahivi wanajazana tu upepo humu[emoji1787]
Yaani wapinzani bwana,kila wanalolishikia bango linabuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mitano tena kwa JPM[emoji110]
 
Wala msimlaumu mshana sio yeye. Tatizo lake kila kitu anachoona anakopi na kuketa huku akifaya kama ni yeye kaandika, anakopi bila kufikiri. Hiyo post aliitoa kwenye magrupu ya wasap,kama kawaida yake mzee wa Copycat akaleta huku. Sasa yanamtokea puani, mm nitaamini anayoyasema mpaka afe yeye kwanza[emoji57][emoji57][emoji57]
Naomba uweke group husika ...usiishi kwa hisia...pigeni madomo yote lakini hakuna hata mmoja wenu atakayekuja hapa na ithibati ya kitaalam kuwa hakuna corona Tanzania
 
Na kipi sasa ...nipe takwimu zinazoonesha hakuna covid Tanzania... Nimewaomba hao wengine wote wameshindwa....na hakuna atakayeweza
Mimi nasema hakuna corona hapa TZ bali kuna magonjwa mengine kama kawaida ila hilo gonjwa lenu la kupika limeshindwa! Sasa wewe unayesema gonjwa lenu la corona lipo TZ tuambie liko mtaa gani mimi ninakoishi huku Mbezi Beach halipo wala sijawahi ona jirani zangu wanaumwa ama kufa kwa corona tangu mtangaze!
 
Nyie mnaosema ipo mtuambie iko wapi??
Au mna anga la peke yenu hapa tz ambako mnaiona Corona?
Nikwambie mara ngapi? Nimetaja mpaka kituo badala ya kwenda na kupata ukweli uko nyuma ya keyboard unataka uambiwe ukweli..upi sasa
 
Wewe ambaye ulileta utopolo wako hapa ndiyo unapashwa kutuletea hizo takwimu zako za wagonjwa na vifo vya corona ili tukuwashe zaidi na takwimu zako fake! Kila mara unawaza siasa za kipinzani tuuu!! Wakati mwingine uwe Mtanzania halisi nyinyi ndiyo mlikuwa mnashirikiana na Wakenya kututukana sisi watz kuwa tunatumia mbinu za Kinjeketile na Kenya wanatumia Sayansi sasa ndugu zako Wakenya bado wanahangaika sasa wameamua kumrudia Mungu leo wako siku ya pili ya maombi wakati walituambia ni mbinu za Kinjeketile sasa Kjnjeketile ameshinda!!
Nenda External kituo cha upimaji hapo ndio utapata kila kitu..haya na wewe niambie takwimu zenu mnazipata wapi
 
Uchaguzi ungefanyika JF wangepatapo ka ushindi ila huku tulipo JPM anashinda mapema mno.

Naombea tu JF isizimwe siku hio tuwaone watakavyokua wanapaparika eti wameibiwa kura.
Nani awaibie kura???
Huku nje watanzania siyo wajinga waanze kuchagua watu waropokaji...wanamchagua mtu makini JPM.

Yaani ukiwa humu JF unaweza kuhisi nchi inapinduliwa Kumbe Wala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja waendelee kujazana upepo humu..majibu watayapata October 28[emoji1787][emoji110]
 
Naomba uweke group husika ...usiishi kwa hisia...pigeni madomo yote lakini hakuna hata mmoja wenu atakayekuja hapa na ithibati ya kitaalam kuwa hakuna corona Tanzania
Who allegies is the one who is supposed to prove his/allegations! Therefore you are the one who is supposed to bring here the evidences to prove your allegations that TZ is affected with COVID-19!
 
Nani awaibie kura???
Huku nje watanzania siyo wajinga waanze kuchagua watu waropokaji...wanamchagua mtu makini JPM.

Yaani ukiwa humu JF unaweza kuhisi nchi inapinduliwa Kumbe Wala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja waendelee kujazana upepo humu..majibu watayapata October 28[emoji1787][emoji110]
JPM Kwenda mbele, hakuna pingamizi
 
Nenda External kituo cha upimaji hapo ndio utapata kila kitu..haya na wewe niambie takwimu zenu mnazipata wapi
Sawa kama upo Mbona hatufanyi Precautions zozote kuhus hilo Gonjwa kama hapo Mwanzo Daladala watu tunasimama, ndoa tunafunga kama kawa, kwanini yani ?? Kwanini hatupo Lockdown kama ulivyosema Kwanini yani ?? NIJIBU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom