Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #501
SIJUI walitumia KIPIMO kipi kuona HAKUNA corona Tanzania.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lissu oyee...
Imebidi tu nami niingie..lol
Kuhusu Corona kuwepo Tanzania I believe bado ipo,kama haipo mje na evidence haipo...
Kusema tuu kuwa mnaendelea na kazi zenu haitoshi kuwa proof kuwa haipo....
Bahati mbaya corona yenyewe haiji na alama,
Kwa mfano...
Tungekuwa labda ukiumwa corona linakuota pembe kichwani.....
Mtu akiumwa au kufa tunajua huyu alikufa kwa corona,
I am sure Majority mliocoment mngejijua kama ni wagonjwa au ndugu fulani alikufa kwa corona...(si mngeliona pembe?! lol)
Sio sasa hivi kifua, mtu akikohoa watu wanadhania ni ugonjwa wa kawaida, kumbe inawezekana tu ni corona,...
SIJUI walitumia KIPIMO kipi kuona HAKUNA corona Tanzania.....
Huku mitaani utasikia 'mbona hatufi' tunatembea barabarani hakuna maiti ..hii dhana ya kudhani ukiwa na corona unaanguka tu itatucost siku moja...
Sidhani kama wataweza kukujibu hili...shida tuliyo nayo ni UFAHAMU ..Ingekuwa corona haipo Tanzania tusingekuwa na idara ya vipimo Ubungo External