Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Unajua watu wanakuandama kwa sababu uliandika kitu usichokijua na bahati mbaya hujui kama hukujua, to-date bado hujui kama ulichoandika hukukijua. Mstaarabu akivuliwa huchutama.

Daah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hata ukitukana hakubadili uhalisia wa namna magufuli alivyouburuza ulimwengu dhidi ya corona

Heheeee kwani mambo ya science yana ubishi basi??ni facts kwa kwenda mbele, ngoja tusubiri Kenya tuone kama corona itaisha,tuone if replication/prayers will deliver the same results... kinachonifurahisha Kenya wana collect data, so watajua kabisa kama maambukizi yameongezeka au kupungua following prayers!....sijui mtaficha wapi sura zenu
 
Mbona hii topic ya Mshana Jr iko wazi sana alikuwa anajaribu kutupatia tahadhari za kuchukua maana kulikuwa na dalili tungeingia ktk lockdown. Kuna baadhi ya watu vichwa vizito sana kuelewa au mna mambo binafsi dhidi ya mshana. Hii covid 19 tumepona kwa bahati tu tupunguze majivuno kuna waliopoteza maisha labda namba ni ndogo kulinganisha sehem nyingine
Kazini kwangu watu zaid ya 6 majibu yalisoma +ve na mmoja wapo aliugua almanusura akate kamba , Mimi nilikataa kupimwa !
Unawapa watu tahadhari bila takwimu? Nitoke tu asubuhi niseme jamani nunueni vyakula, maji na kuweka fedha za kutosha coz "huenda" kukawa na lockdown? Tahadhari zingine hazitolewi na mtu kwa utashi binafsi, you need to gather facts and figures beforehand, tofauti na alichofanya Mshana, yeye katoka huko kaja na tahadhari isiyokuwa na vigezo, ni lazima watu wamshukie.

Kingine, hivi unajua maisha ya wanadarisalam kwa asilimi kubwa ni "hand-to-mouth"? Ukimwambia mtu lockdown, umejitayarisha kumlisha au unataka akafie nyumbani?
 
Mbona hii topic ya Mshana Jr iko wazi sana alikuwa anajaribu kutupatia tahadhari za kuchukua maana kulikuwa na dalili tungeingia ktk lockdown. Kuna baadhi ya watu vichwa vizito sana kuelewa au mna mambo binafsi dhidi ya mshana. Hii covid 19 tumepona kwa bahati tu tupunguze majivuno kuna waliopoteza maisha labda namba ni ndogo kulinganisha sehem nyingine
Kazini kwangu watu zaid ya 6 majibu yalisoma +ve na mmoja wapo aliugua almanusura akate kamba , Mimi nilikataa kupimwa !
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] ....unajua wanajitoa ufahamu na wamepata pa kutolea stress zao hivyo tuwaache tu kaka
 
Mbona hii topic ya Mshana Jr iko wazi sana alikuwa anajaribu kutupatia tahadhari za kuchukua maana kulikuwa na dalili tungeingia ktk lockdown. Kuna baadhi ya watu vichwa vizito sana kuelewa au mna mambo binafsi dhidi ya mshana. Hii covid 19 tumepona kwa bahati tu tupunguze majivuno kuna waliopoteza maisha labda namba ni ndogo kulinganisha sehem nyingine
Kazini kwangu watu zaid ya 6 majibu yalisoma +ve na mmoja wapo aliugua almanusura akate kamba , Mimi nilikataa kupimwa !

Mimi Naona Hili Swala lina u'Siasa kidogo inafahamika humu Mshana Jr ni Mpinzan kindaki ndaki hoja/Posts zake zimekaa kiujuaji juaji Sana(Kwa baadhi) dhidi ya Serikali (Mamlaka) iliyopo hivyo kufail kwa hili ni kama Kum'prove wrong Mshana kwamba Serikali iliyopo ipo Makini na wanajua wanachokifanya regardless of their(his) Weakness

Binafsi Sina Personal issue Nae
 
Alishasema hajakosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tz kuna mambo ya ajabu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh, hawa wengi wanatokea Ufipa. Usishangae...
 
🤣🤣

Hata Tundu Lissu keshaachana na habari za Corona kwa sababu keshajua hazina ishu hapa bongo 🤣🤣.

Mwanzoni mwanzoni aliporudi alijaribu kuishikia bango lakini mwishowe naye ikabidi akubali tu kuwa haina mashiko.

Mwezi wa ngapi huu watu wanaishi tu maisha yao ya kila siku na hawaugui kuliko ilivyo kawaida?

Kama ni kweli hiyo Corona ingekuwa ni ugonjwa hatari basi Tanzania ingekuwa ni moja ya nchi zilizoathirika sana hapa duniani.

Na kwa sababu hiyo hata hizo nyomi zinazohudhuria mikutano ya kampeni za kisiasa zisingekuwepo maana watu wangekuwa ni wagonjwa kupindukia.

Au kwani hayo maambukizi ya Corona yanachukua muda gani hadi mtu aumwe? Mwaka mzima?
 
Mbele kwa mbele
2020
💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚
97BE30E5-0C0D-426B-B130-8B328C0A7DFE.jpeg
 
Kwa lugha rahisi ni hivyo Corona Covid 19 HAKUNA Tanzania

Kwanini Hatukuweza kukaa lockdown kama ulivyo Sema Mzee mshana ??[emoji23]
Nadhani si sahihi kusema haipo.

Mimi naamini ipo.

Na pengine hata wewe ukienda kupimwa wanaweza kuikuta unayo.

Lakini waweza kuwa nayo na wala usiwe mgonjwa.

Na karibu asilimia 99 ya wanaoipata, wanapona.

Na wengi wa hao wanaoipata wala huwa hawaumwi kivile.

Na ndo maana umeona hata majuzi hapa Rais Trump alikutwa nayo na sasa keshapona na yuko fiti kabisa licha ya kuwa na umri mkubwa.

Mke wake, Melania Trump naye alikutwa nayo lakini hata spitali hakwenda.

Hata yule Rais wa Brazil, Bw. Bolsonaro naye aliipata na wala hakuwa mgonjwa.

Waziri mkuu wa Urusi naye aliipata. Hakuugua sana. Alipata vijimafua tu na vikapona vyenyewe.

Ndo maana mimi msimamo wangu kwa muda wote huu umekuwa kwamba, Corona si ugonjwa hatari kama ulivyotangazwa.

Mi mwenyewe hapa nahisi nilishaupata. Nikakohoa kwa siku mbili tatu, baadaye nikaanza kubanja, hatimaye nikapona. Hata wiki haikuchukua.
 
Nadhani si sahihi kusema haipo.

Mimi naamini ipo.

Na pengine hata wewe ukienda kupimwa wanaweza kuikuta unayo.

Lakini waweza kuwa nayo na wala usiwe mgonjwa.

Na karibu asilimia 99 ya wanaoipata, wanapona.

Na wengi wa hao wanaoipata wala huwa hawaumwi kivile.

Na ndo maana umeona hata majuzi hapa Rais Trump alikutwa nayo na sasa keshapona na yuko fiti kabisa licha ya kuwa na unri

Mi mwenyewe hapa nahisi nilishaupata. Niks kojoa kwa siku mbili tatu, baadaye nikaanza kubanja, hatimaye nikapona. Hata wiki haikuchukua.
Itakuwa tu ni mafua makali ambayo yanachemsha kwa muda lakini baadaye mtu unakuwa fresh
 
Nadhani si sahihi kusema haipo.

Mimi naamini ipo.

Na pengine hata wewe ukienda kupimwa wanaweza kuikuta unayo.

Lakini waweza kuwa nayo na wala usiwe mgonjwa.

Na karibu asilimia 99 ya wanaoipata, wanapona.

Na wengi wa hao wanaoipata wala huwa hawaumwi kivile.

Na ndo maana umeona hata majuzi hapa Rais Trump alikutwa nayo na sasa keshapona na yuko fiti kabisa licha ya kuwa na unri

Mke wake, Melania Trump naye alikutwa nayo lakini hata spitali hakwenda.

Hata yule Rais wa Brazil, Bw. Bolsonaro naye aliipata na wala hakuwa mgonjwa.

Waziri mkuu wa Urusi naye aliipata. Hakuugua sana. Alipata vijimafua tu na vikapona vyenyewe.

Ndo maana mimi msimamo wangu kwa muda wote huu umekuwa kwamba, Corona si ugonjwa hatari kama ulivyotangazwa.

Mi mwenyewe hapa nahisi nilishaupata. Nikakohoa kwa siku mbili tatu, baadaye nikaanza kubanja, hatimaye nikapona. Hata wiki haikuchukua.
Ina maana Magufuli anavyosema ugonjwa haupo Tanzania ni muongo ?
 
Utasemaje ugonjwa haupo?

Kwani kampima kila Mtanzania na kuona kuwa hakuna aliyenao?

Narudia tena, Coronavirus 19 yawezekana ipo. Lakini si kali wala hatari kama ilivyopaishwa.

Si kali wala hatari mpaka kuhalalisha ‘rockdown’ 🤣.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom