Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Nenda External kituo cha upimaji hapo ndio utapata kila kitu..haya na wewe niambie takwimu zenu mnazipata wapi
Mimi hali halisi naipata mtaani kwangu yaani block ya Mbezi Beach ninayoishi hakuna mgonjwa wa corona kila jumamosi tunakutana kwenye vikao vyetu vya mitaa hakuna mgonjwa hata mmoja. Pia kazini kwangu taasisi yetu inawatumishi kama 1,200 Tanzania nzima lakini hakuna mgonjwa hata mmoja tuna vikao mara moja kwa wiki hakuna update hata moja inayosema kuna corona au mfanyakazi amekufa kwa corona katika kipindi chote cha tangu March 2020. Huo ndiyo ushahidi wangu!
 
Wewe si umeziona??
Mbona unashindwa kuziweka?
Hivi ugonjwa ulio hatari unafichika kweli?

Kama kweli watu wangekuwa ni wagonjwa kivile si ingejulikana tu? Kila kona na kila pembe ya nchi hao wagonjwa wangeonekana tu.

Mimi bado naamini kuwa Corona si ugonjwa hatari kama tulivyoaminishwa hapo awali.

Hivi mashule yamefunguliwa lini vile?

Tundu Lissu tokea aje ishapita miezi miwili sasa na havai tena barakoa na hajitengi na watu.

Umeona mikutano yake inavyofurika?

Kama kweli hiyo Corona ipo na ni hatari, mbona yeye na wenzake hawajadondoka na kufa?
 
JPM Kwenda mbele, hakuna pingamizi
Huyu baba amefanya mazuri mengi mno
Wanaomchukia wanamchukia bure..yawezekana ana mapungufu yake mengi lakini kwa aliyofanya Hakika anastahili kupewa tena miaka mitano.

Ona kupitia maombi tuliyoomba yametufanya wanafunzi tumalize masomo yetu salama salmini wakati nchi nyingine wanaendelea kusota na hizo lockdown zao.
Tumpate wapi mtu Kama huyu??ambaye Mungu anakaa ndani yake??

Alilonifurahisha zaidi ni jinsi alivyonyenyekea mbele za Mungu muumba ili atuondolee janga la Corona,wakati wengine wakimbeza,hadi kufikia kumkufuru Mungu lakini yeye hakujali...Alimuheshimu Mungu na alijua kabisa Wataalamu wa Dunia hii si chochote mbele za Mungu.
Ona sasa,Mungu alitusikia,Kuna watu wa hovyo Sana hii nchi.. sijui ni vichaa wale[emoji848] walibeza sana..tena Cha kushangaza nao ni wa Tz,halafu eti wanainuka kuwaomba watz kura[emoji57]
Huwa nakararishwa sana na watu kumbeza Mungu.

Nampongeza Sana JPM
 
[emoji44] We jilingishe tu jifanye kunikana hunijui ukakutane na vinyelamumo huko ndo utaelewa Sasa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza inabidi tuyatoe hayo mapepo ya kushabikia vitu vya ajabu
 
Hivi ugonjwa ulio hatari unafichika kweli?

Kama kweli watu wangekuwa ni wagonjwa kivile si ingejulikana tu? Kila kona na kila pembe ya nchi hao wagonjwa wangeonekana tu.

Mimi bado naamini kuwa Corona si ugonjwa hatari kama tulivyoaminishwa hapo awali.

Hivi mashule yamefunguliwa lini vile?

Tundu Lissu tokea aje ishapita miezi miwili sasa na havai tena barakoa na hajitengi na watu.

Umeona mikutano yake inavyofurika?

Kama kweli hiyo Corona ipo na ni hatari, mbona yeye na wenzake hawajadondoka na kufa?
Kwakweli [emoji23][emoji23]
Ugonjwa hatari haufichiki hata kidogo.

Shuleni tumekaa tangu mwezi June Hadi September..nimesoma chuo chenye maelfu ya watu,sijaona Mimi hiyo Corona hadi tumemaliza na Hadi tunarudi makwetu idadi ileile ,hakuna aliyepungua.

Sasa huyo mshana pengine ana Corona yake na eneo lake ambalo ameiweka[emoji1787]
Maana anatung'ang'aniza na wakati mtaani tunazurura kila siku na hatuioni jamani.
 
Kuna watu walikuwa wanalilia lockdown kama vile ni sakrament ya uzima wa milele.....siku hizi sijui wako wapi!
 
Lissu oyee...

Imebidi tu nami niingie..lol

Kuhusu Corona kuwepo Tanzania I believe bado ipo,kama haipo mje na evidence haipo...

Kusema tuu kuwa mnaendelea na kazi zenu haitoshi kuwa proof kuwa haipo....

Bahati mbaya corona yenyewe haiji na alama,

Kwa mfano...

Tungekuwa labda ukiumwa corona linakuota pembe kichwani.....

Mtu akiumwa au kufa tunajua huyu alikufa kwa corona,

I am sure Majority mliocoment mngejijua kama ni wagonjwa au ndugu fulani alikufa kwa corona...(si mngeliona pembe?! lol)

Sio sasa hivi kifua, mtu akikohoa watu wanadhania ni ugonjwa wa kawaida, kumbe inawezekana tu ni corona,...

SIJUI walitumia KIPIMO kipi kuona HAKUNA corona Tanzania.....

Huku mitaani utasikia 'mbona hatufi' tunatembea barabarani hakuna maiti ..hii dhana ya kudhani ukiwa na corona unaanguka tu itatucost siku moja...
 
Kabisa Mkuu

Najionaga Mpumbavu sana
Mimi nilikua Nampinga na Kumchukia Magufuri humu
I ADMIT I WAS WRONG [emoji25]

Yani nilikua kapumbavu Mimi [emoji24][emoji24]
Hata maandiko yanasema;
"Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu,kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu;na ile iliyopo imeamriwa na Mungu"
Rum 13:1

"Tiini kila kiamriwacho na watu kwa ajili ya Bwana,ikiwa ni mfalme,kama mwenye cheo kikubwa"
1pet 2:13

Sasa kuna watu wanajikuta much know sana [emoji57]
Tumeambiwa tufanye maombi wanabeza tu[emoji57]
Wanapingana hadi na maagizo ya Mungu
 
Covid imeondoka Tanzania kwa maombi ..DAH...Kama hili limewezekana kwenye huu ugonjwa kwanini sasa lishindikane kwenye magonjwa mengine kama
TB
Cancer
Ukimwi
Malaria?
Kweli maajabu hayaishi...nimeamini ukitaka kujua gharama za elimu jaribu ujinga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom