Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Mi naona hapa ni swala tu lakumshukuru Mungu hapa anazidi kutupigania.Sielewi wanaomzodoa mtoa tahadhari mlitaka tufe ndo mfurahie huo utabiri.

Hivi ingetokea lockdown mngefurahi kwamba utabiri umefanya kazi?Kwa sababu hakuna lililotokea basi tuzidi kuombeana heri lisitokee.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani kuchemsha uchemshe mwenyewe huko na ramli zako halafu uje kunisingizia Mimi!
Haya lakini mpaka wote kwenye genge lenu wake kwa waume hakuna hata mmoja aliyeweza kutoa ithibati kuwa corona haipo Tanzania
 
Walipata mahali pa kutolea stress ..wamezitoa weee sasa hivi wamepata nafuu kubwa....wamepumzika
 
Uzi unefufuka tena bro mshana na raia bado tu wanakupa za uso[emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Ni haki yao kunifanya punching bag kwa tahadhari niliyowapa..wamepunguza misongo yao ya mawazo na ukizingatia leo ilikuwa weekend na wengi wao kama si wote mifukoni kutupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mburula yeyote akikupa jibu la maana hapo usiache kutustua.

Wengine kwa sasa tuko busy kumalizana na mkoloni mweusi kwanza.

Pamoja sana.
Wamepotea na kupoteana ...walialikana kama wote ...wakiongozwa na madanga chovu ya Jf...wakatoa povu wee lilipoisha wakasepa wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
enzi Mkwere Angelia kashaenda Uswizi WHO sijui Marekani kulia-lia njaa
 
Jibu ni kwamba HAKUNA, Kama unampigia debe alafu unashindwa taja mema mawili that means una hubiri kitu ambacho hata hujui ni kitu gani
Sawa kaka uliyeamua kujifanya kipofu
Subiri October 28 upofu utakutoka
 

hicho alichofanya mwenye mamlaka ya kukifanya ni rais tu.kutangaza hali ya hatari.

ndio nchi ilipofikia hii kwa sasa watu ni wajuaji sio kawaida.
 
Kila mtu alikuwa anasema lake,kuna wengine walifikia hadi kusema kuwa Magufuli atatumia janga la corona kama kisingizio aghairishe uchaguzi na wengine kusema Magufuli ameamua kuwatoa watanzania kafara kwa sababu ya uchaguzi kwamba hajari uhai wa wananchi wake.
 
Ni hili eeh?

 
Wamepotea na kupoteana ...walialikana kama wote ...wakiongozwa na madanga chovu ya Jf...wakatoa povu wee lilipoisha wakasepa wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujinga mzigo. Wanadhani kila mtu anaweza kujitwisha au kutwishwa kireja reja tu kama wao.

Wanadhani kwa kuitisha wengine tu kuleta takwimu ni wajanja kweli kweli. Wala wao kuleta takwimu haliwahusu.

Baadhi ya Karata za kijinga zaidi walizo nazo ni hizi:

1. Mtu hata akiuguliwa au kuathirika kwa ugonjwa huu kwa kuogopa kunyanyapaliwa na hata familia kutengwa na hata kukimbiwa na kukosa usaidizi wowote inabidi kuufyata kimya kimya. Ngoma tu wenye ujasiri wa kusema wanayo hawapo, sembuse Corona?

2. Mataifa kama Brazil na Marekani ni makubwa mno kwa idadi ya watu na hata maeneo. Tanzania ni takribani 1/52 ya Marekani. Mortality rate ya huu ugonjwa ni takribani 2% ya wanaougua jambo la kheri. Wanakookotwa watu kwenye viroba na mamlaka hazistuki, watastuka na 2% ya vifo?

3. Augue Trump na mkewe nchi moja Tanzania ilendelee kuona kuwa ugonjwa huo ni njama tu kwa usalama wa jiwe kutaka kumwondoa madarakani ni upumbaav uliopitiliza!

4. Kwamba hata ukiugua au ukiuguliwa ugonjwa huo ukasema utasukwa sukwa mno na mamlaka kwamba kwa nini umesema. Utanyanyapaliwa na jamii, utakosa msaada wowote kote na hata kutokea kwa jamii inayokuzunguka. Nani ana motisha ipi kutamka ugonjwa umempitia karibu?

5. Nk, nk.

Ngoja tumalizane na mkoloni mweusi kwanza. Haki zetu na uhuru wetu ni kama hewa yetu tunayopumua. Tutaelewana tu.

Wasidhani sote ni kama kina bia yao au mamburula ya pale kwa waziri mkuu wa kwanza wa Congo.
 
Watabir uchwara wa tz haya sasa futeni nyuzi zenu za kilamri lamri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…