Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Una macho lakini hauoni.Ndio hayo mema utayaonyesha??
Kwahiyo nikiongea kitu ambacho hukitaki ndo nakuwa na shallow mind?I never thought you are that shallow minded
Here we go again. Mtu akiwa na mtazamo tofauti na wako unaanza kashfa! Mara wengine uwaambie kwasababu hawana kitu mfukoni. Mkuu kwenye jamii huwezi kuwa na mtizamo sawa na kila mtu.I never thought you are that shallow minded
Hapana dada una heshima yangu tena kubwa sana lakini hizi tofauti za kiitikadi zisitufanye tuwe wapumbavu kiasi kudhihaki wengineKwahiyo nikiongea kitu ambacho hukitaki ndo nakuwa na shallow mind?
Heheeee kwani mambo ya science yana ubishi basi??ni facts kwa kwenda mbele, ngoja tusubiri Kenya tuone kama corona itaisha,tuone if replication/prayers will deliver the same results... kinachonifurahisha Kenya wana collect data, so watajua kabisa kama maambukizi yameongezeka au kupungua following prayers!....sijui mtaficha wapi sura zenu
Iko hivi RRONDO Nimetakiwa kutoa takwimu na wewe ulikuwa mmojawapo ...nikaweka chanzo cha takwimu kilipo ...je kuna aliyejihangaisha kati yenu walau kuingia mtandaoni kutafuta kile nilichoandikaHere we go again. Mtu akiwa na mtazamo tofauti na wako unaanza kashfa! Mara wengine uwaambie kwasababu hawana kitu mfukoni. Mkuu kwenye jamii huwezi kuwa na mtizamo sawa na kila mtu.
Vipimo, barakoa, shtuka kuna kitu!Mrejesho tokea pande za Kenya waliosali kama sisi huu hapa:
Kenya yaanza kukumbwa na wimbi jipya la maambukizi ya Corona
Labda kama vipimo ndiyo vinavyoeleta hili gonjwa.
Vipimo, barakoa, shtuka kuna kitu!
Mkuu wewe uliesema ugonjwa upo ndio unaetakiwa kutoa ushahidi. Mwingine anakwambia kitu hakipo atatoa ushahidi gani kwa kitu hakipo.Iko hivi RRONDO Nimetakiwa kutoa takwimu na wewe ulikuwa mmojawapo ...nikaweka chanzo cha takwimu kilipo ...je kuna aliyejihangaisha kati yenu walau kuingia mtandaoni kutafuta kile nilichoandika
Nilimjibu zaidi ya mara 5 lakini bado nikakomaliwa nitoe takwimu...na kundi lilikuwa kubwa kweli uliona nikibishana na mtu?
Nilichofanya na ndio ninachofanya always...nilikuwa nachagua kuwajibu ama kujibu baadhi ya post ambazo zilikuwa na mwelekeo wa kimjadala..za kipuuzi nilipotezea
RRONDO Niseme tena na ni lazima ulitambue hili kwa hakika ....naandika mada ya kulumbana kwa hoja ...siandiki kitu ili kila mmoja akubaliane nami NEVER huo utakuwa ni upuuzi na upumbavu mkubwa kabisa
Kilichopo kwenye mada zangu zenye mwelekeo wa kisiasa huwa kunajitokeza makundi mawili yenye kupishana hoja UPINZANI vs CCM na vise versa
Kwahiyo badala ya kujadili hoja ...mtu anajadili mtazamo wa mtu...huu ni upumbavu na ni upuuzi
Corona ilikuwepo ipo na pengine itakuwepo ...ushahidi wangu naona bado na wewe hujaukubali ni huu hapa KITUO CHA KUPIMA WAGONJWA WA CORONA PALE EXTERNAL UBUNGO karibu na TFDA... RRONDO kama hii haitoshi basi sina ushahidi wengine wa kisiasa wala wa kishirikinaMkuu wewe uliesema ugonjwa upo ndio unaetakiwa kutoa ushahidi. Mwingine anakwambia kitu hakipo atatoa ushahidi gani kwa kitu hakipo.
Kulumbana kwa hoja ndio kuna kukubaliana,kutokubaliana au kukubali kutokubaliana. Bahati mbaya mara nyingi wasiokubaliana na wewe unaishia kuwapa maneno au kuwakashifu.
Hata mimi nakuheshimu sana na ninakukubali sana na nadhani hilo unalijua.Hapana dada una heshima yangu tena kubwa sana lakini hizi tofauti za kiitikadi zisitufanye tuwe wapumbavu kiasi kudhihaki wengine
Jana nilijaribu kwa kila namna kukupa source ya kile nilichosimamia lakini bado ukakomaa nikupe takwimu ...na kikaja chama cha madanga kutia nguvu baada ya hapo zikawa ni post za dhihaka tupu...I am above next level ndio maana sikutetereka msimamo wangu
BTW hakuna na nasema tena hakuna ITHIBATI rasmi kuwa corona haipo Tanzania ndio maana watu wanaendelea kupimwa pale External
Kwakuwa wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu hivyo hakuna mkamilifu la hata mmoja hivyo tunapaswa kuishi kwa tafakuri huku tukisameheana na kuchukuliana mizigoHata mimi nakuheshimu sana na ninakukubali sana na nadhani hilo unalijua.
Ukisoma comments zangu zote Hakuna nilipokudhihaki personally..kuna watu wameongelea ulozi sijui tunguli ,much know lakini hakuna sehemu Mimi nimeongea hayo kwako.
Mimi nili attack mada yako tu.
Mtu niliyejaribu kumdhihaki ni kipangaspecial na kama amepita hapa ataona,na huwa namtania tu!
Kama nimekukwaza kwa namna yoyote ile naomba unisamehe[emoji4]
Amen brother [emoji4]Kwakuwa wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu hivyo hakuna mkamilifu la hata mmoja hivyo tunapaswa kuishi kwa tafakuri huku tukisameheana na kuchukuliana mizigo
Aisee haya mkuu uko sahihi.Corona ilikuwepo ipo na pengine itakuwepo ...ushahidi wangu naona bado na wewe hujaukubali ni huu hapa KITUO CHA KUPIMA WAGONJWA WA CORONA PALE EXTERNAL UBUNGO karibu na TFDA... RRONDO kama hii haitoshi basi sina ushahidi wengine wa kisiasa wala wa kishirikina
Sasa nisaidie kitu kimoja tafadhali ni kweli corona imeisha Tanzania? Imemalizwa na maombi? Ushahidi ni upi?
Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kingaUgonjwa huu si hatari kwetu Afrika,
Maisha yetu yalivyo ya kubangaiza ishu ya lockdown ingetuua kuliko na huo ugonjwa wenyewe,
Tatizo naloliona kwenye hii mada ni hali fulani ya ushabiki na mtizamo kinzani na serikali, mada imeletwa Kama kutoa tahadhari lakini hapo hapo kukiwa na chembe chembe za kumnanga JPM na serikali yake dhidi ya hatua walizochukua, mshana, billgate na wengine wengi tu walitabiri vibaya juu ya hili gonjwa na tabiri zao zikilalia Afrika, kilichotokea Ni kinyume chake kabisa, hapa ndo tunasema acheni Mungu aitwe Mungu
Kubwa tunashukuru tu mpaka Sasa hali Ni shwari, ugonjwa upo ila si tishio kiasi tuchoaminishwa hapo mwanzo