Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Yani Rais sio kuwa na Inteligency ya kutosha tu kuna wakati Rais lazima kuchukua maamuzi magumu, Mh JPM aliweza sana hili yani kama ni vitani tunasema The situation is under control, Legacy aliyoacha Mzee wetu Magufuli katika kupambana na Convid hakika itasomwa na kuwa reference kwa vizazi na vizazi panapotokea pandemic tunapaswa ku mrefer mzee wetu na kuchukua maamuzi bora kwa masilahi ya Taifa