Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

fetishism kidooogo ina uelekeo flani, labda agnostics au deists wataishikilia, lakini animism, ni upuuzi mtupu, pamoja na theism.
 
Hakutakua na Dini nyengine toka kwa Mungu sababu Tayari Mungu mwenyewe ameshatoa promise hio.

Ila kwa Uisilamu point of view hakuna Mtu duniani ambaye hana dini, na dini ni muongozo wa maisha toka unaamka hadi unalala.
 
D

Ukristo siyo dini. Ni imani.

Waliitwa kwanza Wakristo na Waarabu wa Syria.


Uislam siyo dini bali ni mila na desturi (culture) za waarabu. Ndiyo maana wanaita total way of living. Ukijiunga na dini hiyo lazima ubadili jina liwe la kiarabu, ujifunze lugha ya kiarabu, uvalie mavazi ya kiarabu, ule vyakula vya kiarabu, usanifu wa majengo lazima uwe wa kiarabu, nyimbo lazima ziwe kaswida, kucheza mziki lazima iwe ya kiarabu arabu nk.
Na ndiyo maana uislam nje ya ulimwengu wa kiarabu ni mzigo, kwa sababu mazingira haya-support dini hiyo. Ni imani ambayo inataka total reform ya maisha ya jamii fulani iendane na tamaduni za kiarabu. Matokeo yake kunakuwa na social friction kubwa kwenye maeneo ambayo dini hii inasambazwa.

CC: Yoda
 
 

Unfortunately hii authority uliyo cite hapa wengine hatuitumii wala kuiamini. Kwamba jenga hoja zenye misingi ya logic. Maana wengi wanaoamini mamlaka ya kitabu hiki na kukikariri bila kuhoji kwa sababu ya kumhofu allah
 
Kwani wachina ni dini gani? Kama wachina wote ni dini moja basi uwezekano upo tena sana.
Hawana dini wachina wanajiendea endea tu kitamaduni.

Official China ni atheist country chini ya chama cha kikomunisti.
 
Kuna hii dini ya watu kuabudu "makalio " hii nayo ni janga kubwa sana
 
Katika Ukristo maana ya dini na dini inayofaa imezungumziwa katika Biblia, Yakobo 1:27
 
Hawana dini wachina wanajiendea endea tu kitamaduni.

Official China ni atheist country chini ya chama cha kikomunisti.
Nusu ya Wachina ni Atheists na nusu wana dini mbalimbali wengi wao wakiwa Wabudha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…