Nyumba ibaki jina la mama, muone mwanasheria mwenye akili timamu siyo kama za Damas Ndumbaro, akuandalie Caveat nendeni mkaisajili wizara ya ardhi document zote hifadhini sehemu salama copy zote muwe nazo wadau.Naomba kujua haswa kisheria zaidi
Hipo hivi.. sisi tumezaliwa wa 5 kiujumla watatu wa baba na mama mmoja wawili tumeshare mama.. ambao ni wakubwa kwetu.. yaani mama aliolewa na mzee akiwa tayari na watoto wawili
Mzee wangu alikuwa na wake wa 3 mama yangu ndio alikuwa bi mkubwa.. kuna ndugu zetu wengine kwa baba
Lakini baadae waliachana na mzee hivyo kila mtu aliendelea na maisha yake
Sasa bahati haikuwa upande wetu mzee wetu sisi alifariki dunia zamani kidogo mimi nikiwa class 2β¦ alituachia urithi ambao ni nyumba.. kwaiyo ni nyumba ya watoto watatu( na wale wengine walikuwa na yao)
Kwa hivyo nyumba bado ipo ndugu zangu wawili ambao wa mama na baba mmoja wana miji yao mimi kwakuwa lastborn nipo bado na mama home
Sasa katika kutengeneza Hati ya nyumba,, mama yetu kaweka majina yake kwaiyo kabadilisha nyumba ya urithi imekuwa na majina yake hilo sio tatizo kwani ni mama yetu .. tatizo lipo kwa kaka yangu mmoja nishaleta story humu kuwa anavuta mabangi na amekuwa akitishia kutuua anasema kuwa nyumba ya baba yake
Sasa hii imetupa mashaka maana linaweza kutokea lolote na kwakuwa hati ya nyumba inasoma jina la mama akataka tugawane labda tuuze na sisi hatuna mpango wa kuuza nyumba maana imekuwa ni nyumbani
Sasa nataka nijue kama kuna uwezekano wa kubadilisha hati ya nyumba ikasomeka majina manne yaani sisi watatu na mama au kwa namna gani inaweza kubaki nyumba ya urithi
Hata kafara zinaangalia watu wenye akili (watu wenye umuhimu)Nyumba ibaki jina la mama, muone mwanasheria mwenye akili timamu siyo kama za Damas Ndumbaro, akuandalie Caveat nendeni mkaisajili wizara ya ardhi document zote hifadhini sehemu salama copy zote muwe nazo wadau.
Ukiwa na ndugu kama huyo usikubali kufa maskini hao ndio ndugu wa kutowa kafara kwenye ndagu upate mali, hana faida yoyote ya kuishi.
Majini watakataa kafara hiyo π€£πNyumba ibaki jina la mama, muone mwanasheria mwenye akili timamu siyo kama za Damas Ndumbaro, akuandalie Caveat nendeni mkaisajili wizara ya ardhi document zote hifadhini sehemu salama copy zote muwe nazo wadau.
Ukiwa na ndugu kama huyo usikubali kufa maskini hao ndio ndugu wa kutowa kafara kwenye ndagu upate mali, hana faida yoyote ya kuishi.
Nyumba ibaki jina la mama, muone mwanasheria mwenye akili timamu siyo kama za Damas Ndumbaro, akuandalie Caveat nendeni mkaisajili wizara ya ardhi document zote hifadhini sehemu salama copy zote muwe nazo wadau.
Ukiwa na ndugu kama huyo usikubali kufa maskini hao ndio ndugu wa kutowa kafara kwenye ndagu upate mali, hana faida yoyote ya kuishi.
Hiyo para ya mwisho ni kwamba majamaa ya ndagu huwa hayataki wajinga wajinga, yanataka yule ambaye akiondoka familia nzima inazizima kwa vilio. Ingekuwa yanakubaki yeyote hawa vichaa wangekuwa wameisha!Nyumba ibaki jina la mama, muone mwanasheria mwenye akili timamu siyo kama za Damas Ndumbaro, akuandalie Caveat nendeni mkaisajili wizara ya ardhi document zote hifadhini sehemu salama copy zote muwe nazo wadau.
Ukiwa na ndugu kama huyo usikubali kufa maskini hao ndio ndugu wa kutowa kafara kwenye ndagu upate mali, hana faida yoyote ya kuishi.