VN Warehouse Limited
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 1,139
- 1,156
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder?
Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona nililete hapa jukwaani kwa wenye uelewa mpana watoe ufafanuzi
Nime attach maelezo hapo chini 👇
Asanteni