Kuna uwezekano wa kutumia p2 na ukapata mimba?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Habari ya asubuhi
Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo?
Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo hiyo tarehe 17 asubuhi baada ya tendo akatumia p2
Tarehe 20 akafanya sex tena lakini baada ya hapo hakuchukua tahadhari yoyote sasa ni mjamzito kwa hii situation mimba itakuwa ili iliingia lini hapo?
 
Lea tu hiyo mimba, utapata hallucinations kwa mawazo yako ya mimba. Ufugaji wa wanyama wafugwao tunapata nyama, maziwa, mayai, ngozi n.k. ufanyaji mapenzi tunapata watoto so enjoy matokeo ya ufanyaji wako mapenzi/uzinzi. Kimekuramba.
 
hapa unakuta kabinti an miaka 19 amesex na wanawake watatu ndan ya week mbili hajui mimba ni ya nan

generation ya hawa watoto wa kike ni hasara sana
 
Kuna mimba zingine lazima mtoto azaliwe utake usitake.
Hata ukimeza p2 box zima, uende kwa daktari bingwa akutoe mimba ila mtoto tumboni atakung'ang'ania tu.
Pia mwitikio wa mwili unaweza athiri ufanisi wa dawa.

Uzito BMI Kubwa.
Mabadiliko ya hormone.
Metabolism activities na nk .
 
Kuna rafiki yangu alipata mimba
Akameza dawa za kutoa mara 2 lakini mimba ikagoma kutoka.
Akaona usinitanie akaenda kutoa kwa daktari😂
 
Duh, hii ishu imekukaa vibaya i can imargine. Sasa si ungekuwa muwazi tuu humu tukajua mhusika ni wewe sio shogaako?😊
 
Habari ya asubuhi
Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo?
Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo hiyo tarehe 17 asubuhi baada ya tendo akatumia p2
Tarehe 20 akafanya sex tena lakini baada ya hapo hakuchukua tahadhari yoyote sasa ni mjamzito kwa hii situation mimba itakuwa ili iliingia lini hapo?
Labda ziwe feki
 
IMG_20250306_101337_050.jpg
 
Back
Top Bottom