Kuna uwezekano wa kutumia p2 na ukapata mimba?

Kuna uwezekano wa kutumia p2 na ukapata mimba?

Kuna mimba zingine lazima mtoto azaliwe utake usitake.
Hata ukimeza p2 box zima, uende kwa daktari bingwa akutoe mimba ila mtoto tumboni atakung'ang'ania tu.
Mh! hata katoto huna umeyajuaje haya!
 
1741246523421.jpeg

Kuna mbegu nyingine bishi balaa.
 
Tatizo watu wengi hawajui kazi ya P2. Kazi yake sio kuzuia mimba directly wala kutoa mimba. Kazi ya P2 ni kuchelewesha yai kuja kwenye njia ya uzazi ready kwa ajili ya kukutana na mbegu ya mwanaume. Na ndio maana P2 husababisha mvurugano wa mzunguko wa hedhi kwa mwanamke kwasababu inaenda kuchelewesha utokaji wa yai. Kwahiyo kama yai lilikuwa limeshatoka au tumeseme mwanamke yupo kwenye ovulation wakati mnafanya sex basi hiyo P2 haiwezi kufanya kazi hata siku moja. Na pia kuna sababu nyingine kama uzito wa mwanamke zinaweza kuchangia P2 isifanye kazi ipasavyo.

JIBU: Kwa mpangilio wa hizo tarehe za period hadi kufanya sex, kuna high chances tarehe 16/17 alikuwa tayari ameanza ovulation (egg lilikuwa released on that day) kwahiyo P2 haikuweza kufanya kazi yake inavyotakiwa.
 
Acha umalaya,,, huna mume umekunjwa tar 16 kuamkia 17, then tar 20 tena unayo ! Ndo maana mnazeeka haraka, unakutana na kabint ka elfu2 kamekomaa sura kumbe kanabeba mzigo usiostahili ! Olewa, haya madawa ya kuzuia mimba sio salama kiafya!
 
Habari ya asubuhi
Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo?
Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo hiyo tarehe 17 asubuhi baada ya tendo akatumia p2
Tarehe 20 akafanya sex tena lakini baada ya hapo hakuchukua tahadhari yoyote sasa ni mjamzito kwa hii situation mimba itakuwa ili iliingia lini hapo?
Kule ulisema Tar 16 mwanaume mmoja na Tar 20 mwanaume mwingine, tuondolee umalaya wako hapa usituchoshe tulishakujibu.
 
Tatizo watu wengi hawajui kazi ya P2. Kazi yake sio kuzuia mimba directly wala kutoa mimba. Kazi ya P2 ni kuchelewesha yai kuja kwenye njia ya uzazi ready kwa ajili ya kukutana na mbegu ya mwanaume. Na ndio maana P2 husababisha mvurugano wa mzunguko wa hedhi kwa mwanamke kwasababu inaenda kuchelewesha utokaji wa yai. Kwahiyo kama yai lilikuwa limeshatoka au tumeseme mwanamke yupo kwenye ovulation wakati mnafanya sex basi hiyo P2 haiwezi kufanya kazi hata siku moja. Na pia kuna sababu nyingine kama uzito wa mwanamke zinaweza kuchangia P2 isifanye kazi ipasavyo.

JIBU: Kwa mpangilio wa hizo tarehe za period hadi kufanya sex, kuna high chances tarehe 16/17 alikuwa tayari ameanza ovulation (egg lilikuwa released on that day) kwahiyo P2 haikuweza kufanya kazi yake inavyotakiwa.
There's no way Tar 16/17 akaovulate kama menstruation ilianza Tar 6, ovulation hufanyika siku ya 14 tokea siku ya kwanza ya menstruation, siku ya 14 hapo ni hiyo Tar 20.
 
There's no way Tar 16/17 akaovulate kama menstruation ilianza Tar 6, ovulation hufanyika siku ya 14 tokea siku ya kwanza ya menstruation, siku ya 14 hapo ni hiyo Tar 20.
You’re also right ila menstruation cycle ina mambo mengi. Mfano kwa cycle ya siku 28 kama ameanza period tarehe 6 basi ovulation inaweza kuanza tarehe 18 kwahiyo hapo ana window ya siku 1 tu kuanzia tarehe 17 (aliyosex) hadi 18. Bado alikuwa kwenye risk ya P2 kutofanya kazi. Check image below.

Pia inawezakana mimba ameipata hiyo tarehe 20 aliposex tena coz ile P2 aliyomeza tarehe 17 haikufanya kazi ipasavyo. In short, My point ni kwamba kuna high possibility hiyo P2 haikufanya kazi hiyo tarehe 17 kwa sababu yai lilikuwa tayari lipo released.

IMG_0562.png
 
Back
Top Bottom