Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
mzoefu huyo kwenye moja na mbili!!Leo umekuja kama wewe ndo mhusika mkuu au ndo yuleyule shoga ako?
Nadhani tulishakujibu cute...p2 haifanyi kazi before inafanya kaz after sex immediately
Ni yule yule ila imebidi nilivae kama languLeo umekuja kama wewe ndo mhusika mkuu au ndo yuleyule shoga ako?
Nadhani tulishakujibu cute...p2 haifanyi kazi before inafanya kaz after sex immediately
Pia mwitikio wa mwili unaweza athiri ufanisi wa dawa.Kuna mimba zingine lazima mtoto azaliwe utake usitake.
Hata ukimeza p2 box zima, uende kwa daktari bingwa akutoe mimba ila mtoto tumboni atakung'ang'ania tu.
Kuna rafiki yangu alipata mimbaPia mwitikio wa mwili unaweza athiri ufanisi wa dawa.
Uzito BMI Kubwa.
Mabadiliko ya hormone.
Metabolism activities na nk .
Labda ziwe fekiHabari ya asubuhi
Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo?
Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo hiyo tarehe 17 asubuhi baada ya tendo akatumia p2
Tarehe 20 akafanya sex tena lakini baada ya hapo hakuchukua tahadhari yoyote sasa ni mjamzito kwa hii situation mimba itakuwa ili iliingia lini hapo?
Habari ya asubuhi

Siku hizi wanawake wanatia mimba wanawake wenzao!!!!hapa unakuta kabinti an miaka 19 amesex na wanawake watatu ndan ya week mbili hajui mimba ni ya nan
generation ya hawa watoto wa kike ni hasara sana