Unajua huyu tatizo lake sio kuzaa. Tatizo ni hajui hasa baba wa mtoto ni yupi. Yule alofanya nae tar 16 akameza p2 au yule wa tar 20. Yaani hapa anahangaika kujua ni yupi akamwambie 'Nina mimba yako'.Tulia uzae. Tayari "umeneti"
Kawaida sanamzoefu huyo kwenye moja na mbili!!
🤣Umekaza bro🤭Minaona....
Utavuna ulicho panda
Acha uongo.Ni yule yule ila imebidi nilivae kama langu
Mh! hata katoto huna umeyajuaje haya!Kuna mimba zingine lazima mtoto azaliwe utake usitake.
Hata ukimeza p2 box zima, uende kwa daktari bingwa akutoe mimba ila mtoto tumboni atakung'ang'ania tu.
😅 😅 😅 nimelibeba kama langu maisha kusaidianaDuh, hii ishu imekukaa vibaya i can imargine. Sasa si ungekuwa muwazi tuu humu tukajua mhusika ni wewe sio shogaako?😊
UkimaanishaHakuna linaloshindikana chini ya jua🐼
Mtoto wangu si weweMh! hata katoto huna umeyajuaje haya!
asalaleeee! umenivunja nguvu sikutegemea hili jibu kwisha habari yangu....🤣Mtoto wangu si wewe
Kule ulisema Tar 16 mwanaume mmoja na Tar 20 mwanaume mwingine, tuondolee umalaya wako hapa usituchoshe tulishakujibu.Habari ya asubuhi
Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo?
Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo hiyo tarehe 17 asubuhi baada ya tendo akatumia p2
Tarehe 20 akafanya sex tena lakini baada ya hapo hakuchukua tahadhari yoyote sasa ni mjamzito kwa hii situation mimba itakuwa ili iliingia lini hapo?
There's no way Tar 16/17 akaovulate kama menstruation ilianza Tar 6, ovulation hufanyika siku ya 14 tokea siku ya kwanza ya menstruation, siku ya 14 hapo ni hiyo Tar 20.Tatizo watu wengi hawajui kazi ya P2. Kazi yake sio kuzuia mimba directly wala kutoa mimba. Kazi ya P2 ni kuchelewesha yai kuja kwenye njia ya uzazi ready kwa ajili ya kukutana na mbegu ya mwanaume. Na ndio maana P2 husababisha mvurugano wa mzunguko wa hedhi kwa mwanamke kwasababu inaenda kuchelewesha utokaji wa yai. Kwahiyo kama yai lilikuwa limeshatoka au tumeseme mwanamke yupo kwenye ovulation wakati mnafanya sex basi hiyo P2 haiwezi kufanya kazi hata siku moja. Na pia kuna sababu nyingine kama uzito wa mwanamke zinaweza kuchangia P2 isifanye kazi ipasavyo.
JIBU: Kwa mpangilio wa hizo tarehe za period hadi kufanya sex, kuna high chances tarehe 16/17 alikuwa tayari ameanza ovulation (egg lilikuwa released on that day) kwahiyo P2 haikuweza kufanya kazi yake inavyotakiwa.
You’re also right ila menstruation cycle ina mambo mengi. Mfano kwa cycle ya siku 28 kama ameanza period tarehe 6 basi ovulation inaweza kuanza tarehe 18 kwahiyo hapo ana window ya siku 1 tu kuanzia tarehe 17 (aliyosex) hadi 18. Bado alikuwa kwenye risk ya P2 kutofanya kazi. Check image below.There's no way Tar 16/17 akaovulate kama menstruation ilianza Tar 6, ovulation hufanyika siku ya 14 tokea siku ya kwanza ya menstruation, siku ya 14 hapo ni hiyo Tar 20.
Umefata nini hapaKule ulisema Tar 16 mwanaume mmoja na Tar 20 mwanaume mwingine, tuondolee umalaya wako hapa usituchoshe tulishakujibu.