Kuna uwezekano wa kutumia p2 na ukapata mimba?

Asante
 
😳sasa itakuaje
 
Kuna mimba zingine lazima mtoto azaliwe utake usitake.
Hata ukimeza p2 box zima, uende kwa daktari bingwa akutoe mimba ila mtoto tumboni atakung'ang'ania tu.
Ahahah,ukute anakuja kuwa kama jiwe huyo mtoto wenyewe,unaweza ukafa mama ye akabakia
 
😳sasa itakuaje
Achague kusuka ama kunyoa. Aongee na mwenzake wajue mpango wao kwenye hilo jambo. Aache kujiuliza imekuwaje amepata mimba wakati tayari anajua ameipataje. Unless anachotaka kujua ni “nani baba wa mtoto” kama wa trh 17 na trh 20 ni wanaume wawili tofauti. Kama ni hilo basi yule wa tarehe 20 ana high chances (sio all chances) za kuwa baba mtoto. 😅
 
😅 pagumu hapa sanaa yani ukisikia kuyatimba ndo huku sasa
 
Hamna shida inawapata wanawake kama kuwa na wanaume zaidi ya mmoja na wote unawavulia chupi muda wowote na saa yoyote.

Hapo ni mtu anataka ajue Mimba ni ya bwana ATHUMANI au bwana IDRISA.

kwanza Hongera kwa kuwa Mjamzito

Pili Pole kwa kutojua Mimba ni ya nani.

Ushauri :

Wambie Wote kuwa unaujauzito, Ataekubali Ndio baba mtoto.

Note :

Ataekataa anaweza kuwa ndio baba mtoto pia.

"Ukome Mwaya"
 
😂 😂
😂 😂 😂 Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…